Picha - Kikwete anapopunguza uchovu Mkutano CCM Dodoma

La msingi hapo kale kaugonjwa kake kasimpatie hapo katikati ya hao akina dada akajikuta anadondoka.
 
Hizi ndio raha za kuwa Mswahili...kila kitu bardiiiiiiiiiiiiiiii!!! kelele za chura hazimyimi ng'ombe kunywa maji!!!
 
4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg
Kikwete akijiburudisha baada ya kazi nzito iliyochukua karibu wiki zima Dodoma kukamilika. Kazi na dawa
maskini mama wa watu haujui mtandao wake kwa sababu tu ya njaa,anyway at least muheshimiwa kumbe ana vitu anavyoviwea
 
hapo anatamani amshike huyo dada.
Kwani iliishaje maana naona hapo mwanzo mwanzo wa kucheza, labda kama hao waliokuwa wanaimba waliacha kuimba ghafla. Inaruhusiwa pia katika ngoma, haina tatizo hiyo kama ilitokea.
 
4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg

Kikwete akijiburudisha baada ya kazi nzito iliyochukua karibu wiki zima Dodoma kukamilika. Kazi na dawa

Hapo kama zile nafasi za Ubunge za kuteuliwa hazijaisha siku si nyingi utasikia huyo mama kapewa moja vinginevyo itaanzishwa wilaya mpya ili apewe walau Ukuu wa Wilaya hiyo.
 
Kuna kazi nzuri kama kumchangamsha mwenyekiti? Vikao vinachosha sana.
 
Hivi wilaya ya mbagala inaanzishwa lini na mie nichangamke? Nimechoka na umaskini!
Hapo kama zile nafasi za Ubunge za kuteuliwa hazijaisha siku si nyingi utasikia huyo mama kapewa moja vinginevyo itaanzishwa wilaya mpya ili apewe walau Ukuu wa Wilaya hiyo.
 
Back
Top Bottom