Picha - Kikwete anapopunguza uchovu Mkutano CCM Dodoma

L_Lajous_N_Mandela_B_Radebe_Dancing.jpg

Nikuongeze?
 
Mbona haya mambo sikuwahi kuyaona wakati wa Ben, Mwinyi au Nyerere? Kipindi hiki mambo tofauti kabisa jamani!!!
Mkuu hao walikuwa wana-complicate maisha, huyu yupo simple kama Zuma Jacob alivyo kule bondeni.
 
NYERERE alikuwa serious sana . Pia alikuwa na maadui wengi sana ndani na nje ndio maana alikuwa anaishi kama digidigi. MWINYI alikuwa mtu wa dini na mswalihina alipenda michezo ila watanzania walimuuzi akawaona kichwa cha mwendawazimu. MKAPA alikuwa na sura mbaya (hadi ilibidi apigwe picha 3000 kupata picha nzuri ), roho mbaya, jeuri, mtemi , aliwadharau watanzania wote hadi waandishi wa habari. KIKWETE MTU WA WATU, HANDSOME, ANAKUBALIKA KUANZIA NYUMBANI ,KENYA ,ULAYA NA MAREKANI. KUANZIA OBAMA ,50 CENTS HADI DIAMOND.
 
yuko sawa sana tu...
kuwa raisi haifuti kipaji wala hobi za mtu...
 
:shut-mouth:
NYERERE alikuwa serious sana . Pia alikuwa na maadui wengi sana ndani na nje ndio maana alikuwa anaishi kama digidigi. MWINYI alikuwa mtu wa dini na mswalihina alipenda michezo ila watanzania walimuuzi akawaona kichwa cha mwendawazimu. MKAPA alikuwa na sura mbaya (hadi ilibidi apigwe picha 3000 kupata picha nzuri ), roho mbaya, jeuri, mtemi , aliwadharau watanzania wote hadi waandishi wa habari. KIKWETE MTU WA WATU, HANDSOME, ANAKUBALIKA KUANZIA NYUMBANI ,KENYA ,ULAYA NA MAREKANI. KUANZIA OBAMA ,50 CENTS HADI DIAMOND.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom