Picha Katika Habari

Oman wiki moja tu ndiyo arudi na mafurishi yote hayo, au walipiga dili kama lile la mabondia waliokwenda "Maurishiazi" miaka ileeee?????
 
Duh wabongo kwa mafurushi,ndio maana fast jet wameshusha nauli ila target yao ni kwenye viroba kama hivi,unaweza kisia kuna kilo ngapi hapo?x8000/-hujalipa nauli ya watu kumi tu?
 
Oman wiki moja tu ndiyo arudi na mafurishi yote hayo, au walipiga dili kama lile la mabondia waliokwenda "Maurishiazi" miaka ileeee?????
hapana wadau ana maduka yake ya nguo kwa hiyo ameitumia fursa, mkumbuke pia kwamba wameunganisha toka kambi ya Straz kwa hiyo fungu lipo hapo
 
Football is not a forever game, this boy has now to take a break. Enough. De lema, left a picth still able to kick the ball. The injuries was not the big issue.
 
Back
Top Bottom