PICHA: Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha aliyejeruhiwa kwa BOMU

Yote ni maoni ila jamani tuTHINK TWICE haya mambo ya nchi hii leo dini,ccm hawapikiki chungu kimoja uku siasa familia nazo mmh! NANI HARAUMIWE!
 
wenyewe kwa wenyewe hampendani,mtampendaje Mungu msie muona.?

Wana Mungu wao hao siyo yule muweza wa yote!! Ndio mana hata akina flani wakigombea urais lazima waanguke na kuzima.
 
hajafa mpaka saivi hawa ni magaidi na tutawamaliza kimya kimya tuna safar ya kwenda kwahuyo alioko zanzibar
unyama unyamani tu walizani hatuwezi tunaweza sana tena sana

kumbe nzie ndo mlofanya?
Mbona mnawasingizia wenzenu kuwa ndo magaidi?
 
Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama: Ongezeni doria katika mipaka yetu ili kuzuia uingiaji wa silaha ndogo ndogo nchini vinginevyo tutakuwa kama palestina au afuganistan!

mbona zingine wanaingiza wao, watafungaje mpaka?
 
hilo ndo bomu? kama mtu aliweza kujiteka atafanya lolote sababu alishagundua wafuasi wake wana
kuwa triggered na upuuzi
 
tusubiri mkuu wa nchi mpaka siku aje ayaongelee haya matukio maana sijawahi msikia akiongelea hata moja kati ya haya wala kukemea
 
Sio habari nzuri kabisa kwani ninachoamini huyu ni baba wa watoto fulani mme wa wake au mwanaamke fulani ndugu na jirani watu fulani, hili jambo limewatoa machozi watu hawa.hatuwezi hukumu lakini ni bahati mbaya sana haya mambo yanaanza kutokea sasa hapa tz
poleni wote mliosikitishwa na unyama huu lakini jipeni moyo ,hawa wamefanya jambo baya sana, hilo ndio la msingi
 
Aisee, ndio maana nasema sasa tujiandae kuchinjana tu. Hivi ni wapi hawa watu wamepata hilo bomu? Ni la kienyeji au ni la ina ipi? Mungu tuhurumie.
 
Hawa jamaa hawana upendo kabisa! Hv utampendaje Mungu kama binadam mwenzio humpendi?
 
Duh! Pole nyingi kwa mzee wa watu. Pia tunamwombea apone haraka

Hapa ndipo tungependa kuona uchakapazi wa Manumba, Chagonja, Mwema na TISS. Hao waliotenda jinai hii wasakwe na haki ipatikane
 
tunakutakia afya haraka na mapema, ANAYESEMA WAISLAM HAWANA MCHANGO AKAPIMWE MILEMBE.YESU AKUPONYE HARAKA NA MAPEMA.
 
Pole sana Mkuu! Hustahili mateso haya! Very sad indeed for this country! Haya ni matokeo ya kutochukua hatua mapema!!
 
Huhitaji kuwa forensic scientist kugundua kuwa bomu hilo lilimripukia wakati amelishika mkononi (mkono wa kulia) huku akiliangalia?/akilichunguza?/akilishangaa?/ kwa makini (karibu na macho yake)/ akilitega/akilitegua??. Ndio maana epicentre ya madhara aliyoyapata ni kwenye kidevu na vidole vya mkono wa kulia. Vyenginevyo ramani ya madhara ingekuwa tofauti.
 
tanzania kwa potez ushahidi hawajambo...huyo askari na mwenzake walioshika maganda ya bomu wanapoteza ushahidi....ni ngumu sana kumpata aliyefanya kitendo hicho kwa mtindo huo....sidhni ama wana utaalmu wowote wa forensic...halafu huyu shehe sijui katibu wa bakwata kuna vitu anafificha kutokana na mlipuko huo...katika picha hizi inaonekana alikuwa amelishika bomu hilo....
 
Sijapata jibu bado, alikuwa amelala usiku wa manane akiwa kafungua mlango au dirisha? Alikuwa na bomu hilo kwake amelitunza? Sijapata jibu!
Utata uko hapo... Ila acha tumezee manake hii thread naona zimetembea b.a.n kibao.
GET WELL SOON KHATIBU WETU !!!
 
Mdunya na Kavu kuti, kumbukeni ya kwamba kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Nitaendelea kusema kweli daima kuhusu Waislam. I will call spade a spade and not a big spoon. Swali: Nijuzeni mchango wa jamii ya Kiislam katika maendeleo ya taifa letu.

Acha Pumba wewe...kwa kuanzia tu kasome historia ya wapigania uhuru wa nchi hiii....wakati waislamu wanapigania uhuru
wengi wa wakristo wenzako walijiunga na wakoloni kukandamiza wazalendo ......

Kikubwa mlichofanya nyinyi ni kuwarudisha hao wazungu na kuwapa mikataba ya kutuibia madini na risimali zetu


Kama unataka mengine tutakuekea

Halafu wewe unaeitwa Buchanan kwa nini una delete post zangu ?
au ndio unatuthibitishia kuna mfumo kristo hadi humu JF

Semeni kabisa tujue tuwache kuchangia..mchangie wenyewe tu..
Maana huyu mwenzenu mmemuangalia bila kumfanya kitu ...tumejibu mnaanza ku-delete post zetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom