Picha: Katiba ya Chenge na Sitta sasa yachezewa na watoto

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,266
Baada ya matamko mbalimbali ya kuikataa katiba ya chenge na sitta sasa yaanza kuchezewa na watoto na baadae wataifungia vitumbua

Roho inaniuma ccm walivyokula hela nyingi za kutunga hiki kitabu wakati ocean road watu wanakufa kwa kukosa huduma
 

Attachments

  • 1428404837618.jpg
    1428404837618.jpg
    25.6 KB · Views: 6,227
Acha wafungie maabdazi. Tumewaonesha kuwa wananchi tunanguvu pamoja na matusi mazito ya sitta na genge lake la kihuni hatimaye tumeshindwa kwa 75%
 
Sidhani kama mleta mada unajitambua kwenye mambo ya jamii na falsafa kwa ujumla.
 
Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kuleta thread ya kipumbavu namna hii hapa jamvini?
 
Maisha bora kwa Kila mtanzania
 

Attachments

  • 1428412041110.jpg
    1428412041110.jpg
    20.1 KB · Views: 1,651
Maisha bora kwa Kila mtanzania

Hizi ni hasira za ule muswada kandamizi unaosubiri kusainiwa na kuwa sheria.

Watu wanatupia picha za mwisho mwisho.


Hii imekaa zaidi kama "image deemed indecent" kwenye hiyo sheria.

Hata hivyo, sidhani kama watu watarudi nyuma.
 
Baada ya matamko mbalimbali ya kuikataa katiba ya chenge na sitta sasa yaanza kuchezewa na watoto na baadae wataifungia vitumbua

Roho inaniuma ccm walivyokula hela nyingi za kutunga hiki kitabu wakati ocean road watu wanakufa kwa kukosa huduma

Na bado..........waanze waone ndo waje wajue ( Babanze babone ......nilwo balamanya)
 
Sidhani kama mleta mada unajitambua kwenye mambo ya jamii na falsafa kwa ujumla.

Craaaaap!

Haya wewe ulie mjuvi nena; kwa kuanzia tuambie unaelewa nini maana ya falsafa na mambo ya jamii. Isije ikawa tunajadili na 'empty set'

BACK TO THE TOPIC: Watanzania tusikate tamaa tuendelee kupaza sauti zetu kuhamasisha watanzania juu ya unyama na ukatili wa viongozi hawa sitta na chenge chini ya uratibu wa CCM; Kansa ya nchi yetu Tanzania.

Tiba ya KANSA ni kiukata na kutupilia mbali chanzo cha kansa; nayo ni CCM
 
Sitta na Chenge walikuwa wanajaribu kutunga katiba kama ambavyo ilifanyika Kenya. Sidhani kama wanaamini walichokuwa wanafanya. Na hadi sasa, sijui kama wanajua wanachotaka kufanya na katiba pendekezwa! Hata kama wananchi wakikataa hii katiba pendekezwa, wao watafanya maigizo yao tuu ya kuelekeza lawama kwa watu wengine.
Yaani hawa wazee wetu ni sanaa kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom