Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

Discussion in 'Jamii Photos' started by bagamoyo, Aug 29, 2012.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 2,280
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 83

  [​IMG]
  Muonekano wa mbele wa hekalu la Mchungaji Rwakatare
  [​IMG]
  MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM
  [​IMG]
  Mc Harris Kapiga akiwa kazini.
  [​IMG]
  Watu wakijiachia
  [​IMG]
  Kabati la vyombo
  [​IMG]
  Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.
  [​IMG]
  Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi la kifahari mjengoni humo
  [​IMG]
  Wakati wa msosi
  [​IMG]
  Mambo ya dressing table
  [​IMG]
  Kitanda chake cha kulalia
  ---

  Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.

  Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba nyingine ya kifahari pia.  Picha na Ruma Africa

   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera kwake.
   
 3. R

  Richard Nguma Senior Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  That's is a ****
   
 4. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 36
  o.m.g!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 58,112
  Likes Received: 4,341
  Trophy Points: 113
  Huyu naye ana preach prosperity gospel?
   
 6. A

  August JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 3,513
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 48
  ameoteshwa mwenzunu.
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,189
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  yah man.....na anakuambia toa Mungu atakuzidishia.....kanisani kwake nasikia wenye kutoa sadaka kubwa wana viti vyao mbele...huruhusiwi kukaa......
   
 8. u

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,118
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Mtaji Wa Mafisadi Ni mbinu mbinu, kukwepa kodi, kidhulumu watu, kulipa wafanyakazi kidogo, na kumuhusisha Mungu na Baraka wakishafanikiwa Kwenye ufisadi wao.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 26,755
  Likes Received: 1,105
  Trophy Points: 113
  huko beach alikojenga sheria inaruhusu?
   
 10. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 4,897
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 83
  KATOLIK LILIONA MBALI. No kuoa No KUOLEWA wala Kujenga Mnaishi kwenye Majumba ya Kanisa. Safi sana RC.. Ngoja nikakabidhi mchango wangu wa kumjengea Paroko Nyumba ya Kuishi Parokiani....... Awe karibu nasi
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,511
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  mupenzi,
  wenzio hawana sheria...
  wako juu ya sheria..
  kajenge wewe sasa...asubuhi unakuta bonge la X ukutani...BOMOA!
   
 12. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 8,362
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 113
  Ukiruhusu haya ya kuoa, hata wakatoliki makasri kama haya yatajengwa kwa maaskofu, makardinali!
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 6,035
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 113
  Duuuuuu kweli kazi tunayo jamani duuu
   
 14. m

  mdoe mchaina JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mungu. Kuna movie yangu nataka nika shoot hapo
   
 15. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 18
  Mungu atusaidie sana!!!!
   
 16. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,143
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 48
  Mark 8:36
  For what does it profit a man to gain the whole world, and forfeit his soul?
   
 17. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu umenichekesha mbaya! Sisi ndio hatuna makuu kila sheikh anakaa kwenye kamjengo kake na sadaka zote nikwa ajili ya msikiti sio tumbo la sheikh.
   
 18. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,368
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  ...huyu si ndiye ambaye Shule zake (St. Mary`s) zinaiba umeme wa Tanesco!!
   
 19. M

  Meander Senior Member

  #19
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Naomba ramani ya nyumba hii mkuu
   
 20. Baraka F.K

  Baraka F.K Senior Member

  #20
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akili kumkichwa!
   

Share This Page