PICHA: Kampeni za udiwani za CCM - Kata ya Daraja mbili Arusha; cheki huo umati

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
Huu umati wa watu ! Yaani hamna hata haja ya kwenda kwenye vituo vya kura mnashinda kilainiiiiiii!!!!!!!!

attachment.php
 
Attachments

  • 302150_367082560043549_648965178_n.jpg
    302150_367082560043549_648965178_n.jpg
    65.9 KB · Views: 1,091
Tunatezama wingi wa watu au wingi wa wapiga kura?mrema aliaibika kwa wingi wa watu 1995 kumbe walikuwa hawajajiandikisha kupiga kura mwisho wa cku aliangukia pua,so cha msingi tutezame wing wa watu waliojiandikisha kupiga kura au waliopo kwenye daftar la wapiga kura na mwisho wa cku wajitokeze cku ya kupiga kura na wapige kura kumchagua mgombea wamtakae hapo ndipo ushindi unapopatikana
 
siasa zimebadilika we mpaka leo unaleta mifano ya kina mrema pandikizi la ccm!?
soma alama za nyakati mkuu.
 
reference za kina mrema iz invalid in todayz politics. CCM ishaelekea kibla tayari kuchinjwa
 
Tunatezama wingi wa watu au wingi wa wapiga kura?mrema aliaibika kwa wingi wa watu 1995 kumbe walikuwa hawajajiandikisha kupiga kura mwisho wa cku aliangukia pua,so cha msingi tutezame wing wa watu waliojiandikisha kupiga kura au waliopo kwenye daftar la wapiga kura na mwisho wa cku wajitokeze cku ya kupiga kura na wapige kura kumchagua mgombea wamtakae hapo ndipo ushindi unapopatikana

hivi unafananisha 1995 na 2012?
 
Ninachokiona hapo ni jukwaa la hotuba kwa mbali na turubai la viongozi likiwa limezungukwa na vijana wanachungulia kama kuna ubwabwa au wasanii pendwa wa bongo flavour.

Pia ninamwona mwendesha baiskeli akiwa anakokota baiskeli yake pasipo kujua chochote kinachoendelea.

Mwisho ninamwona mama na mwana wakiongozana na deli la ice cream na ndoo kwenda kufanya biashara katika fungu la watu waliokusanyika.
 
arusha nadhani ndo ccm wajipime juu ya kukubalika, na hayo matokeo ni taswira kwa nchi nzima iwapo uchaguzi utakuwa huru
 
Tunatezama wingi wa watu au wingi wa wapiga kura?mrema aliaibika kwa wingi wa watu 1995 kumbe walikuwa hawajajiandikisha kupiga kura mwisho wa cku aliangukia pua,so cha msingi tutezame wing wa watu waliojiandikisha kupiga kura au waliopo kwenye daftar la wapiga kura na mwisho wa cku wajitokeze cku ya kupiga kura na wapige kura kumchagua mgombea wamtakae hapo ndipo ushindi unapopatikana

Hujui unachoongea kaa kimya
 
acha kujipa moyo kaka hata kama hawa waliohudhuria wamejiandikisha na 1/10 ya wanaohudhuria kampeni za CDM bado CCM itaangukia pua! endelea kujiliwaza tu....
 
Hii ni kata yangu na shaidi ni Mungi.
Ccm wakishinda hapa mie najitoa jamii forum.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom