Picha: John Heche Ndani ya Tarime

kwa hiyo wewe ndio msemaji wa heche unakunasha kuwa heche ajasema kama anataka kugombea ubunge tarime unaenda mbali zaidi unasema vyombo vya habari ni waongo wanamsingizia...mie sio mtumwa wa vyama vya siasa kama wewe ndio maana unaona nawachana wote, wewe ni mpambe wa kina slaa na mbowe, huna lolote wenye chadema ni watu wa kaskazini...eti unaijenga chadema mbowe na slaa, nao watasemaje wewe kaa hapo usubiri maandamano ndio kazi yako.

akili zako mara nyingi zinafanana na avator yako
 
Ritz kama akili yako ingekuwa na akili hizo hasira zako ungezielekeza kwa aliyekutoa katika payrol ya chama cha mabwepande.
Chadema inajengwa na Mimi, Slaa, Mbowe, Mnyika, Heche, Zitto na wengine wengi unaowafahamu na usiowafahamu.
Cd yenu ya udini na ukanda haitoweza kuwasaidia chochote kwani watanzania wameshawastukia. Nani utamdanganya kwamba Mwanza, Mara, Shinyanga, Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi, Morogoro, Mtwara, Ruvuma na Lindi napo ni kaskazini?
Haya ndio madhara ya kuwa kibaraka wa ufisadi akili yako imeshikiliwa na mtu mwingine.
 
Last edited by a moderator:
henche umenifurahisha sana kuwa karibu na bibi yako mzaa baba yako kumbe bado yupo? Safi sana ni vyema akaona matunda mwambie akupe baraka zote ni mtu muhimu sana kwako kwa kutoa baraka zake kwako
 
Ritz kama akili yako ingekuwa na akili hizo hasira zako ungezielekeza kwa aliyekutoa katika payrol ya chama cha mabwepande.
Chadema inajengwa na Mimi, Slaa, Mbowe, Mnyika, Heche, Zitto na wengine wengi unaowafahamu na usiowafahamu.
Cd yenu ya udini na ukanda haitoweza kuwasaidia chochote kwani watanzania wameshawastukia. Nani utamdanganya kwamba Mwanza, Mara, Shinyanga, Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi, Morogoro, Mtwara, Ruvuma na Lindi napo ni kaskazini?
Haya ndio madhara ya kuwa kibaraka wa ufisadi akili yako imeshikiliwa na mtu mwingine.

Mie binafsi najiweza wala sitegemei mtu yeyote kama wewe kwanza huna uwezo wa kuhoji wala kumkosoa Mbowe, Slaa, Lema, ebu jaribu kuhoji kwa nini M4C inasimamiwa na watu kutoka kaskazini uone kama ujafukuzwa kama Kafulila au wale madiwani wa Arusha, kwenye M4C hakuna Mkurya, Msukuma, Mkinga, Muhaya, Mmakonde, Mgogo, wote uliowataja wanatatumika tu kwenye maandamano.
 
Last edited by a moderator:
Ujamuuliza vipi wakati mwenyewe kaishasema anataka kugombea ubunge Tarime au unagopa kusema utafukuzwa chama, nidhamu ya uwoga mbaya sana...vipi Zakharia yupo nasikia mnamuogopa Tarime nzima.

Tarime nzima wanamuogopa Zakaria!!!!! Bila shaka unasemewa hili, husemi mwenyewe mkuu! Basi kwa nini kama anatisha namna hiyo hakupewa kura na badala yake akashindwa na John Heche, mwaka 2008! Bila shaka umezoea nidhamu ya uoga wewe ndiyo maana unafikiri na wenzako watakuwa hivyo hivyo! Mambo ya magamba bwana, kazi kweli kweli, ndiyo maana mawaziri karibu wote wanamuogopa Nape. Ajabu kweli kweli!
 
Mie binafsi najiweza wala sitegemei mtu yeyote kama wewe kwanza huna uwezo wa kuhoji wala kumkosoa Mbowe, Slaa, Lema, ebu jaribu kuhoji kwa nini M4C inasimamiwa na watu kutoka kaskazini uone kama ujafukuzwa kama Kafulila au wale madiwani wa Arusha, kwenye M4C hakuna Mkurya, Msukuma, Mkinga, Muhaya, Mmakonde, Mgogo, wote uliowataja wanatatumika tu kwenye maandamano.

Ni shida kweli kweli kumwelewesha mtu ambaye anafikiri anajua kumbe hajui. Huyu jamaa anaonekana dhahiri kabisa hajui M4C ni kitu gani. Yapo makundi kama manne ya watu katika kuelewa au kujua mambo, katika hoja hii ni wazi Ritz atakuwa kundi lile la 'wasiojua, lakini wanataka kuonekana wanajua...'
 
Huyu heche akitaka kujua hapendwi Tarime mwache agombee aone Mara laki mwikabe agombee anauwezo wa kukomboa jimbo zaidi ya huyu jamaa
 
Sijamuuliza kuhusu hili la ubunge lakini naamini anaweza kuwa mbunge mzuri kama wanavyowezakuwa makamanda wengine toka Tarime.
Bahati nzuri Tarime kuna makamanda majembe ya kutosha.

Mkuu Mwita Maranya kuna siku iliripotiwa humu kuwa jamaa ametangaza kugombea Ubunge kupitia CDM mwaka 2015, hukusikia? Vipi Kamanda Mwita Mwikwabe Waitara yuko wapi mbona sijamuona akiwa ameongozana na oamanda Heche ili naye kujiweka vyema kwenye kinyanganyiro. Nasikia Waitara alichakachukiwa sasa si ni wakati muafaka apewe nafasi nyingine tena?
 
Last edited by a moderator:
Tarime nzima wanamuogopa Zakaria!!!!! Bila shaka unasemewa hili, husemi mwenyewe mkuu! Basi kwa nini kama anatisha namna hiyo hakupewa kura na badala yake akashindwa na John Heche, mwaka 2008! Bila shaka umezoea nidhamu ya uoga wewe ndiyo maana unafikiri na wenzako watakuwa hivyo hivyo! Mambo ya magamba bwana, kazi kweli kweli, ndiyo maana mawaziri karibu wote wanamuogopa Nape. Ajabu kweli kweli!
Hivi Zacharia yupo CDM?
 
kwenye hizo pucha sijamuona Heche akiwa na wazee wa kimila. Sijamuona akila kichuri na wasaiga na sijamuona akicheza Iritungu. Amesahau mila? atakosa baraka toka kwa wazee!
 
Ritz kama ungekuwa unajiweza usingekubali kutumika na ccm kwa ujira wa buku mbilimbili kwa kila post. Kwahiyo unajikuta unaandika hata ujinga ili kuongeza idadi ya post.
M4C huifahamu na huwezi kuifahamu kwa sasa hadi akili yako ya kuku itakapokua.
Jinsi akili yako ilivyo ya kuku hata hujui kwamba M4C na operation Sangara zinaongozwa na Wakurya. Lakini kwakuwa hatutangazi makabila hapa ndio maana hawajitangazi.
 
Shit .... kumbe ni buku mbili tu kwa post .... pamoja na kujidhalilisha kote humu jf

Agrrrrrr x 10000 ... very disgusting

Njaa mbaya sana ...
 
Huyu nae kazi kubadili ID njaa itakuuwa unatumia ID's zote hizo kumtetea Mbowe...
 
Ritz kama ungekuwa unajiweza usingekubali kutumika na ccm kwa ujira wa buku mbilimbili kwa kila post. Kwahiyo unajikuta unaandika hata ujinga ili kuongeza idadi ya post.
M4C huifahamu na huwezi kuifahamu kwa sasa hadi akili yako ya kuku itakapokua.
Jinsi akili yako ilivyo ya kuku hata hujui kwamba M4C na operation Sangara zinaongozwa na Wakurya. Lakini kwakuwa hatutangazi makabila hapa ndio maana hawajitangazi.

Chadema na Wakurya wapi na wapi bana, Chacha wangwe, yupo wapi? Chezea Kaskazini wewe daganya wengine wewe endelea kutumika...ha haa haaa buku mbili ninazolipwa zote nimechangia JF isonge mbele...mwambie basi Slaa, akupe posho uje kuchangia JF sio kujaza post tu humu.
 
Last edited by a moderator:
kwenye hizo pucha sijamuona Heche akiwa na wazee wa kimila. Sijamuona akila kichuri na wasaiga na sijamuona akicheza Iritungu. Amesahau mila? atakosa baraka toka kwa wazee!

Kimbunga mambo ya Wasaiga na Wazee wa Kimila yana wakati wake si kila mahali. Hizo picha ni mikutano ya hadhara aliyofanya maeneo mbalimbali.
Nikukumbushe kwamba wazee wa Kimila wana sehemu maalum ya kukutana na hakuna ruhusa ya kupiga picha. Pia si lazima kucheza Iritungu kila siku, hiyo kitu ina utaratibu wake.
Subiri nitakapotangaza nia jimbo la Serengeti nitakualika ushuhudie yote hayo, Iritungu, Kichuri, Wasaiga na madikodiko mengine!
 
Back
Top Bottom