PICHA; JK in Addis Ababa!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mdahalo wakati wa Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika, akiwa na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhuria

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Nigeria Mh Goodluck Jonathan baada ya kuhudhuria dhifa ya kitaifa waliyoandaliwa na mwenyeji wao Waziri Mkuu wa Ethiopia Mh Meles Zenawi jijini Addis Ababa Alhamisi usiku. Kulia kwa Rais Kikwete ni Waziri wa Fedha wa Nigeria Bi.Ngozi Okonjo-Iweala ikiwa ni kielele cha Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mstaafu Bw Koffi Annan walipokutana katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa ambako wote walihudhuria Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika



Picha na IKULU
 
Tunae rais!!. Ktk
mkutano huu
marais walikuwa
wachache sana
sidhani kama alista
hili kwenda kwa jinsi
hali ya nchi yetu
ilivyo. Si angemtu
ma tu pinda au makam wa raisi?
 
kila safari yeye hata kama si muhimu kwa taifa ni bora awe anawapa na wasaidizi wake.
 
Kwa safari hii sina shida nayo ila kunazingine hastahili kwa kweli
 
Back
Top Bottom