Picha: Jinsi Nape na CCM wanavyojaza umati wa watu mikutanoni

Heee kumbe mambo ndivyo yalivyo? Mimi nilikuwa nadhani wanagawa zawadi wakati wa kampeni za uchaguzi tu kumbe hata wakati wa kutangaza kuwa mafisadi wamepewa siku tisini huwa zawadi za vitenge na khanga zinagawiwa?!!!
 
wanajua wananchi hawana nguo, lazima watumie hiyo advantage. Wananchi wanatumika kama mabango ya matangazo ya CCM bila ya wao kujua.
 
Rushwa nje nje, pccb wako wapi!!

attachment.php
 

Attachments

  • Nape.jpg
    Nape.jpg
    115.9 KB · Views: 523
Wana JF angalieni aina ya watu wanaotaka bendera hizo, hii inatoa taswira kamili ya aina ya wanachama/wafuasi waliobaki CCM.
 
C C M katika hatua za ukuaji
1960S CHAMA CHA MWALIMU ( TANU....+ )
1970s CHAMA CHA MAPINDUZI
1980S CHAMA CHA MAKABWELA
1990S CHUKUA CHAKO MAPEMA
2000S CHAMA CHA MAFISADI
 
C C M katika hatua za ukuaji
1960S CHAMA CHA MWALIMU ( TANU....+ )
1970s CHAMA CHA MAPINDUZI
1980S CHAMA CHA MAKABWELA
1990S CHUKUA CHAKO MAPEMA
2000S CHAMA CHA MAFISADI
Mkuu ya mwisho NI CHAMA CHA MAGAMBA!
 
Back
Top Bottom