Picha Jahazi wakirusha roho london

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mwanaidi Sinare jana alijimwaga na watanzania wengine kwenye steji kurusha roho wakati bendi ya Jahazi toka Tanzania ilipowapa burudani ya nguvu watanzania waliohudhuria sherehe za miaka 47 ya uhuru wa Tanzania

349.jpg


342.jpg


288.jpg
 
Huu ndio upuuzi niliokuwa naukataaa

hizi the so called MODERN TAARAB ni utumbo to the max

Whatever hapenned to MALINDI/IKHWAN SAFAA au MUKRIM TAARAB?

by the look of it inaelekea kulijazana machangu tuuu

mie siwezi kumruhusu mke wangi akaenda kwenye hizi TAARAB MAYENU zilizojaaa nothing but matangazo ya ZINAAA
 
Back
Top Bottom