PICHA: Inauma, wanahitaji msaada

Inaniuma na inasikitisha sana.Ona wanampokea kama mfalme.
Tuache kuandika humu ndani twendeni huko vijijini tukawaeleze ukweli halisi watanzania wenzetu.Muda wa mabadiliko umewadia.

Gari+la+JK+linazuiliwa+barabarani+likitokea+Kibosho+kuelekea+Hai+ambapo+wananchi+waliomba+awasalimu+naye+akasimama.jpg
 
selikali haina hata aibu, imefika kipindi naichukia kabisa, nikiona hata sura ya JK tu kwenye luninga, natamani kuzima tv

Mkuu taratibu isije tokea siku hasira ikakushika ukaipiga jiwe kabisa TV yako na kujipa hasara wakati mkwere akiendelea kufisadi na marafiki zake
 
Kasi Zaidi, Ari Zaidi, na Nguvu zaidi kuwatia umaskini watanzania. Si wao wanakubali bwana, eebooo!
 
Mh! huyo mmoja aliepakizwa kwenye wheelbarrow nna mashaka sio mgonjwa,,,nimeona ameshika chupa ya KONYAGI,,, au ndio kuna dawa ya KALUMANZILA kwa ajili ya huduma ya kwanza?
 
Tatizo la chadema ukabila. siwaamini watu wa huko maeneo ya arusha, moshi manyara. chadema is just a company. Labda tu hope for CCJ.

lastly, soma uokoe jamii yako.
 
CCM Oyeee.. Kweli inauma kwa mfano unapoona US$ 15,000 (waliyojigawia kutoka kwenye kodi yetu au kuchangiwa na waliowasamehe kodi) wanatumia kumkodishia ndege yule kimbelembele kwa saa 5 tu
 
CCM Oyeee.. Kweli inauma kwa mfano unapoona US$ 15,000 (waliyojigawia kutoka kwenye kodi yetu au kuchangiwa na waliowasamehe kodi) wanatumia kumkodishia ndege yule kimbelembele kwa saa 5 tu

wabongo hatunazo jamani.aaaaaaaaaaaaagh!!
 
Tatizo la chadema ukabila. siwaamini watu wa huko maeneo ya arusha, moshi manyara. chadema is just a company. Labda tu hope for CCJ.

lastly, soma uokoe jamii yako.
ccj is no more, why not join chadema mama
 
Inaniuma na inasikitisha sana.Ona wanampokea kama mfalme.
Tuache kuandika humu ndani twendeni huko vijijini tukawaeleze ukweli halisi watanzania wenzetu.Muda wa mabadiliko umewadia.

Gari+la+JK+linazuiliwa+barabarani+likitokea+Kibosho+kuelekea+Hai+ambapo+wananchi+waliomba+awasalimu+naye+akasimama.jpg

katika wote hawa ni hovyo kabisa. Lakini naiona bendera ya CHADEMA kwa uwazi kabisa.
 
"Maendeleo hayawezi kuletwa na mtu mmoja. awaye yeyote hawezi kuleta maendeleo akiwa yeye mwenyewe pekeyake. maendeleo ni kitendo cha jamii kubadiri hali ya maisha kutoka iliyopo sasa na kwenda iliyo bora zaidi. hivyo ni kazi ya jamii kukubari na kufanya juhudi za makusudi kujiletea maendeleo..." (Julius K. Nyerere)
 
Wataletewa Bajaj 400 wakichagua CCM wataletewa Landcruser Mkonge wakichagua CHADEMA

Fidel,

Tafadhali usiwafananishe CHADEMA na CCM. HAWAFANANI kwa namna yoyote ile. Sidhani kama CHADEMA inaweza kutoa ahadi ya KIPUMBAVU kama hiyo ya kuleta "Landcruser Mkonge"! PLEASE! Usiniharibie siku yangu!
 
Tatizo la chadema ukabila. siwaamini watu wa huko maeneo ya arusha, moshi manyara. chadema is just a company. Labda tu hope for CCJ.

lastly, soma uokoe jamii yako.

Mamanalia

Kama CHADEMA ni chama cha ukabila, basi na huko Mwanza, Kagera na Mara wasingepewa ushikiano mkubwa kama ilivyotokea.

Huko Iringa na Mbeya wanamsubiri kwa hamu Slaa na wenzake, achilia mbali Lindi, Mtwara, Mbeya na Ruvuma. Kigoma ndio itakuwa kasheshe!

Bado wasema CHADEMA ni chama cha kikabila? Umetumwa?

-> Mwana wa Haki

P.S. Hizo propaganda za ukabila zimeanzishwa ili KUWATENGUA wananchi wasishikamane. Tanzania hatuna hulka ya ukabila. Au umesahau tuliyofundishwa na Baba wa Taifa? Labda Kenya bado wanao ukabila, lakini si hapa kwetu! Hoja mfu hii! You can do better than that!
 
Tetesi zinaonesha kuwa hata tukipiga kura kuleta mabadiliko hakutakuwa na mshindi atakayetangazwa mbali na Jk. Sababu ni kuwa kuna wizi mkubwa umeandaliwa na CCM so inabidi tulinde kura zetu maana kuna uwezekano wa kushinda uchaguzi wa Urais na akatangazwa mwingine.
ni kweli usemvyo,lazima kura zilindwe! vinginevyo sijui!
 
Back
Top Bottom