Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 16,846
- 16,740
Mdogo wangu Qadaffi unahutubia muda mrefu mpaka mimi kaka yako Mugabe ninasinzia usifanye hivyo siku nyingine sawa
Mzizi mkavu we kiboko, u make me happy hadi karibu nimwage chai this morning hapa Airport, nimecheka hadi basi, thanks