Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha iliyonihuzunisha mtot wa kiume wa ki syria alala kwenye makaburi ya wazazi wake

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 17, 2014.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2014
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 37,652
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 113
  [​IMG]

  Mtoto wa kiume wa ki Syria aamuwa kulal karibu na Makaburi ya wazazi wake wawili

  Baba na Mama waliouawa na Serikali ya Rais Dikteta Bashar Asad Syria ewe

  Mwenyeezi Mungu waokowe watoto wa Ki-Syria ameen.


  A Heart Breaking image of the Syrian boy sleeping between the graves of his parents murdered by Bashaar.
  :Cry::Cry:
   
 2. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #2
  Jan 17, 2014
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,312
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 63
  Maskini!!!! Anatia huruma kwa kweli
   
 3. MTIMBICHI

  MTIMBICHI JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2014
  Joined: Apr 15, 2013
  Messages: 908
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lol mungu wewe ndiye hakim inshalah, ngoja nikapige rakaa muda huu .
   
 4. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2014
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 12,804
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 83
  Dah... Yesu Kristu amsaidie mtoto huyo....
   
 5. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2014
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,471
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 63
  Tuliwambia wasyria acheni mambo ya maandamano kuna wachochezi wanataka mmalizane.hawakutaka kusikia,acha wauane mpaka watatia akili wenyewe.
   
 6. Miaghay

  Miaghay JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2014
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,471
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 63
  mungu amsaidie mtoto huyo.
   
 7. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2014
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 11,845
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 83
  Allah ampe subira,mtoto mwema ni yule anayewaombea wazaz wake,,,,,,
   
 8. Mkoroshokigoli

  Mkoroshokigoli JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2014
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 11,845
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 83
  Hawa the so called 'WAASI' NDO wameleta chokochoko zote hizi,maana hakukua na mantiki kabisa ya kuanzisha mapigano,
   
 9. S

  Spartakas Senior Member

  #9
  Jan 17, 2014
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii imenisikitisha sana nilikuwa nakula nimeacha hivi hawa Russia na China kwanini siku hizi wanakuwa upande wa madikteta? Sio wale tuliwaona zamani dunia inaangalia tu Assad rais haramu ambaye kwanza hakuchaguliwa na mtu yeyote bali alipachikwa na inner circle wa baba yake Hafidhi Assad ili wazidi kula nchi. Arab League naomba huyo kijana apatiwa msaada haraka sana yeye na nduguze iwapo wapo ikiwa ni pamoja na kusomeshwa, makazi, mavazi na chakula mpaka atakapokuwa na umri wa kujitegemea yeye na nduguze. Mungu msiidie huyu mtoto umpe ahueni ya maisha. poleni Syria
   

Share This Page