Picha iliyo ni huzunisha leo

kwa hiyo catholic ndio inaruhusu watu kufanyiana hivyo?
very shame kuwasingizia wacatholic hii kitu.

Usihamaki mkuu...mchokonoa hoja alitaka kujuzwa kama huko Mexico watu hawajafunga Ramzan na akajibiwa hivyo...je ni vibaya?

Originally Posted by mkwegi
Hivi huko Mexico hakuna cha mwezi mtukufu wala nini??!!
Mungu apitishe mbali hilo balaa
 
...Watu wetu wengi hawana kazi ndio maana kunapotokea hata kakitu kadogo tu watu kibao. Ila hawa jamaa kiboko watu wanamega menu na maiti iko pembeni hawana wasiwasi. Ingekuwa bongo hapo kila mtu anatafuta stori...:A S 100::A S 100:
gebu.check picha hizi hapa panaitwa nyakagwe,juzi yamefukia watu check watu IMG_1022.JPGIMG_1023.JPGIMG_1024.JPGIMG_1025.JPGIMG_1026.JPGIMG_1027.JPG
 
Picha hizo hapo juu zimechukuliwa kwenye machinbo ya dhahabu ya nyakagwe wlaya ya Geita inasemekana watu wamefukiwa baada ya mashimo kutitia lakini Wa TZ wanataka kuendelea tu na uchimbaji hata hawafikirii kuwatoa wenzao walionaswa chini ya mashimo hayoIMG_1022.JPGIMG_1023.JPGIMG_1024.JPGIMG_1025.JPGIMG_1026.JPGIMG_1027.JPG
 
Back
Top Bottom