Picha: Ibada ya kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata

Pumzika kwa amani Regia ,na sisi tuko njiani yatupasa kuziandaa njia zetu ili alipo na sisi tuwepo,
tulitoka mavumbini na mavumbini na tutarudi
 
Rest in Peace our Jf friend!it is so sad to have Jf without you! All in all we are all in the same path to where you are now!
 
Kusoma tu maandisha iliniuma sana . Kuangalia hizi picha sasa naamii ni kweli imetokea.
Dunia ni nyumba ya kupanga tu, ipo siku tutaungana nawe mahali tunapopaita "Nyumbani kwa baba"
umetupa majonzi mengi kwa kutangulia kwako. Kama ingelikuwa ni uamuzi wetu tungeomba ubaki nasi milele.
Pumziko la milele Regia. Tuliumbwa kwa udongo na tutarudi udongoni. Amen..

The Finest asante kwa picha..

Umeongea point sana mkuu.
 
Back
Top Bottom