Picha; Huyu NDIYE MWANAMKE Mwenye UMBILE la KIPEKEE na ni la KISASA zaidi DUNIANI...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

date.png
10:34 AM
comments.png




ee2132b436fdf2551d3c9c5c8fd68b73_L.jpg



ANAITWA Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani, amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo kubwa zaidi sehemu ya makalio.
article-2530778-1A53FA5800000578-674_634x443.jpg

Sarah ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya kukikalia, ana mzunguko wa futi 7 ambapo mara kadhaa amekuwa akipata shida kupita mlangoni.


Hata hivyo mwanamama huyu mwenye umri wa miaka 33 anasema anajivunia kuwa mmoja wa wanawake wenye ‘figa’ la kufa mtu hapa ulimwenguni.
article-2530778-1A53FAF400000578-655_634x486.jpg

article-2530778-1A53FAF000000578-765_634x563.jpg


article-2530778-1A53FAE400000578-599_634x409.jpg





 
Back
Top Bottom