Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

uamsho_625.jpg

SHEIKH FARIDI
[h=1][/h]Written by ali a mohamed // 19/10/2012 // Habari // 4 Comments


Asala aleykum mimi naona hawa Usalama wa Taifa kidogo wapelekwe tena shule
wakasome zaidi maana hawajui wanalofanya. Huu mchezo wa kuiga kwa hawa ndugu
zao wa bara kwa kufanya kitendo cha kumteka nyara kama walivyofanya kwa Dk Usumbuko huyu Sheikh Farid ni kitendo cha kuiga na kila mtu anajuwa
Hawa nia yao ni kumsimamisha huyu Sheikh Farid kutokana na msimamo wake pammoja na wananchi wa Zanzibar kuhusu Mungano na kwa maoni yangu wameshtuka sanana hili kongamano la mwisho la kutaka Zanzibar kuwa huru hivyo nia yao ni kwa kuwa huyu ndio kinara basi ni wammalize
Sasa kama ni watu waliosoma sio ambao wamepewa ajira kutokana na ukereketwa wao kwa chama wangelikuwa na njia nzuri sana za kummaliza huyu Sheikh Farid bila ya mtu au wafuasi wake kujuwa na wangelihisi ni kifo cha kawaida tu
Kwani wameshindwa kutumia njia ya sumu kwa kumtilia kwenye chakula au njia wanazotumia KGB za kukumaliza kwa sumu aina za polonia10 na nyengine?
Wangelifikiria njia hizo wangemmaliza bila ya fujo hapa kisiwani leo Lakini jinsi ya ukosefu wa elimu na nini kutokujuwa wanalolifanya leo haya ndio matokeo yake ya vurugu
Elimu ni muhimu nyie usalama bila yakusoma mtajulikana siku zote nini mnalofanya na kama hamuwezi kusoma basi jitahidini japo kuiga
NIACHENI NIPUMUWE
 
hii ndio inayotufanya Wazanzibar tuchukie Muungano kwa vitendo vyenu vya ushenzi na unyama, tunawambia usalama wa Taifa Patawashinda Zanzibar kutia mguu , pindipo Wazanzibar tukisha Shahadia na kumuelekea M/mungu, na hatukombali kufanya hilo Tunasubiri Takbiri tu.
 
shehe farid kiongozi wa uamsho hajulikani alipo na serikali imekwishasema haijui mahali alipo na haihusiki na kutokuonekana kwake.na matokeo ya vurugu za kutokuonekana kwake yameshaanza kuitikisa nchi,sasa basi vipi akiendelea kutokuonekana na kama akionekana amekufa kama binaadamu au kama mtanzani unafikiri ni nini kinaweza tokea katika hii nchi ikiwa mpaka sasa hakuna juhudi zozote zinazofanyika kutatua mzoo huu zaidi ya kuongeza tu vikosi vya usalama. je kama ni kweli ni vikosi vya ndio vimemkamata unahisi wametumia njia sahihi tujadiliane wakuu.
 
huyu si mwarabu kabisa? Enyi waislam wapenda amani msikubali kutumiwa na hawa makuwadi wa imani haba

Nawasikitikia ndugu zetu weusi wa Zanzibar, kumbe wanashabikia kurudishwa tena utumwani na waarabu kwa ajili ya kupewa tende. Hakuna cha uislam hapo, agenda ni kutawaliwa na waarabu mara ya pili.
 
Shein asipoangalia nchi ya zenj itamshinda kutawala,watu wametulia amani imerudi zenj,wanakuja wajinga wanamteka sheikh farid na wamemteka kama walivomteka dr. Ulimboka,na inaonekana serikali inahusika mojakwa moja,mnawachokoza wakifanya fujo mnalalamika,huyo farid anaheshimika zenj kuliko shein,seifsharif,seif idd,huyo anapendwa na majority ya wazenj 90% KWANINAVOWAJUA WAZENJ WASIPOMUACHIA NDANI YA MASAA 24 ZENJ HAITAKALIKA,MPK MUDA HUU ZENJ HAKUKALIKI KWA VURUGU,CHEZEA WAZENJ WEYYE?WANA MSIMAMO NA HAWAOGOPI,NATABIRI ZENJ ITAKUA KAMA MISRI,NA TAHRIR SQUARE NI DARAJANI.

anueni matanga huyo gaidi wenu Farid hamumuoni tena. Obama katufundisha kitu kizuri sana, kuwa gaidi akiuawa ni kutupa baharini hakuna kuonyesha maiti yake kama ilivyokuwa kwa Osama. Samaki wameshakula macho ya gaidi Farid
 
Masalia ya Washiraz.

Ndugu zetu wapemba na watumbatu wandhani wakiwa na ngozi nyeupe na madevu kama Faridi na wao wanakuwa waarabu pia. Kwa akili za kiimani haba, kuwa kama mwarabu ndio kuwa bora duniani na mbele za mungu wao
 
Nimesikia amepotea katika mazingira ya kutatanisha jana hadi leo hajapatikana... wafuasi wake wameleta madhara sana kuchoma office za ccm na baa zote za unguja

wakati wanachoma wengine walionekana wakigonga lager na kukimbia na kreti za bia, njaa mbaya jamani
 
NA YEYE HUYO JKN YALIMSHINDA ASINGEFIKA HATA MIAKA 2 ..ALIACHIA ALIJUA AMESHALIKOROGA....
hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....

mimi si muumini wa hivyo wa dini. haya mambo wameleta wazung na waarabu kwa nini yanisumbue mweusi! Sitaki utumwa wa weupe
 
wazanzibari weusi hamjastuka kuwa huyu katumwa na babu zake wa oman waje kuwatawala tena?
 
View attachment 68459
Sheikh Farid (wa pili kutoka kushoto) ndiye kiongozi wa Uamsho anayeifanya Zanzibar na Tanzania kwa jumla isipate usingizi.

Huyu ni kibaraka tu, hana lolote analodai ila kutimiza matakwa ya miungu watu wake wa kiaarabu!
Vibaraka kama hawa ndo wanatufanya tuwe masikini hadi leo, wacha wawajibishwe sawasawa!!
 
shehe farid kiongozi wa uamsho hajulikani alipo na serikali imekwishasema haijui mahali alipo na haihusiki na kutokuonekana kwake.na matokeo ya vurugu za kutokuonekana kwake yameshaanza kuitikisa nchi,sasa basi vipi akiendelea kutokuonekana na kama akionekana amekufa kama binaadamu au kama mtanzani unafikiri ni nini kinaweza tokea katika hii nchi ikiwa mpaka sasa hakuna juhudi zozote zinazofanyika kutatua mzoo huu zaidi ya kuongeza tu vikosi vya usalama. je kama ni kweli ni vikosi vya ndio vimemkamata unahisi wametumia njia sahihi tujadiliane wakuu.

mbona ukweli uko wazi kuwa Sheh Farid ameamua kujificha ili kuhalalisha uvunjaji wa amani, kwanza alihamasisha watu wachome makanisa bila sababu sasa ameona a-FAKE kukamatwa. Kumbukeni Mola hujibu kila ombi na chozi la mja wake, angalieni mazahama yanayoikumba zanzibar toka mulivyoanza kuharibu mali, mnataka mabalaa zaidi?!, endeleeni na uongo wenu.
 
Back
Top Bottom