Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

Mbona anafanana na wale wa Afagh na Pakistan? watanzania tuwe macho ana ndefu nyingi why?
 
Ipo ila hapa Tanzania bado haijaanza kufanya kazi. Nafikiri ianzie kwa Ponda na Farid
 
Mbona Mwarabu! WatZ si Weusi?
Mimi nilishasema hapa duniani Binadamu wa kiafrika ni kiumbe wa ajabu.Pamoja na historia mbovu ya hawa watu lakini inashangaza katika karne hii ya vizazi vyenye muono wa mbali Mwafrika tena wa hapa Tanzania bado anakasumba ya kutamani aishi kama huyu jamaa.
Huitaji kuwa na akili ya ziada kugundua kwamba mtu kama yule ni mchonganishi tu na mambo yakiharibika hapa yeye anayo sehemu nyingine ya kujificha.
 
huyo si mwarabu jaman? hv nyinyi wazanzibar mnapenda utumwa bado au mmeshakua addicted na u cameroon?
 
Mbona anafanana na osama bin laden.enyi watu weusi msikubali mwaraabu atukoseshe aman yetu tuliyoijenga na kuilinda kwa miaka 50 sasa
 
Hawa ndugu zetu waislam hata tukisema tuwaachie nchi waishi wenyewe, bado wataanzisha mzozo kama ilivyo Somalia.Watajitokeza watu waanze kudai wanataka waislamu wote wafuate dhehebu la washia.Halafu hawa usalama wa Taifa sijui wako wapi!!.Ama kazi yao ni kuwashughulikia wanasiasa wa upinzani Tu?. Maana hii redio Imani pamoja na Ponda wao maneno wanayoongeaga ni hatari sana kwa Amani ya nchi yetu. ni uchochezi mtupu!1. Hii hali ikiendelea nadhani yatakuja kutokea maafa makubwa sana huko mbeleni. Maana hata sisi wakristu uvumilivu utatushinda
Mimi sio msemaji wao lakini ....... Hapa Wanaofanya fujo wanatumia kofia ya uislam.... lakini Baraza la waislamu lenyewe ambalo wanahusika moja kwamoja na uislam .... wao wanakanusha na kuwashtumu akina Farid na Ponda na tayari walishatoa taarifa kwa umma kwamba wanaofanya mambo hayo sio waislamu ni wahuni ......tena Mufti alisema Ponda hana hata elimu ya kuitwa Shekh..... bali wanatumia kofia tu kwa maslahi yao binafsi..... wanavamia katika sehemu za starehe kama kwenye mabaa na kuharibu.... lakini wanaondoka na pombe
 
Hapa tulipofika kama taifa ndio watu wanaoamini kama mimi kuwa viongozi wenye msimamo na uzalendo lazima wapatikane na wawe ni viongozi wenye kuangalia maslahi mapana ya taifa! Viongozi hao wenye kuangalia maslahi mapana ya taifa kuwapata ni ngumu ila naamini wapo. I'm sorry to say right now our country has no leaders who can lead by example, especially top leaders! Most of the top leaders are saving for the interests of their groups and not for the large interests of our country as one!
 
Hawa ndugu zetu waislam hata tukisema tuwaachie nchi waishi wenyewe, bado wataanzisha mzozo kama ilivyo Somalia.Watajitokeza watu waanze kudai wanataka waislamu wote wafuate dhehebu la washia.Halafu hawa usalama wa Taifa sijui wako wapi!!.Ama kazi yao ni kuwashughulikia wanasiasa wa upinzani Tu?. Maana hii redio Imani pamoja na Ponda wao maneno wanayoongeaga ni hatari sana kwa Amani ya nchi yetu. ni uchochezi mtupu!1. Hii hali ikiendelea nadhani yatakuja kutokea maafa makubwa sana huko mbeleni. Maana hata sisi wakristu uvumilivu utatushinda
Mimi sio msemaji wao lakini ....... Hapa Wanaofanya fujo wanatumia kofia ya uislam.... lakini Baraza la waislamu lenyewe ambalo wanahusika moja kwamoja na uislam .... wao wanakanusha na kuwashtumu akina Farid na Ponda na tayari walishatoa taarifa kwa umma kwamba wanaofanya mambo hayo sio waislamu ni wahuni ......tena Mufti alisema Ponda hana hata elimu ya kuitwa Shekh..... bali wanatumia kofia tu kwa maslahi yao binafsi..... wanavamia katika sehemu za starehe kama kwenye mabaa na kuharibu.... lakini wanaondoka na pombe
 
Mimi nadhani serikali inatakiwa kuwa makini sana kujua ni kitu gani kinatafutwa na kutumia njia nzuri za kuzuia maafa yasiendelee pasipo kuvuruga amani kwa watu ambao hata hili jambo hawalielewi lilivyo
 
Kumbe nyerere alikuwa anasamehe mafisadi baada ya kuombwa na maaskofu?
Ndio tatizo lenu...hamtaki kuchanganya na akili zenu....kama umeambiwa Nyerere alikuwa anasamehe watu akiombwa na askofu,wewe hukufanya udadisi wowote....alisamehe wangapi kwa kuombwa na askofu? Yule mshenzi alitoka Cyprus,sasa dadisi nguvu walozonazo maaskofu wakuu wa Orthodox wa Cyprus, Ugiriki na Urusi ndio ujue pale msamaha uliombwa na zaidi ya askofu. Pia...samehe saba mara sabini.
 
Mimi nadhani serikali inatakiwa kuwa makini sana kujua ni kitu gani kinatafutwa na kutumia njia nzuri za kuzuia maafa yasiendelee pasipo kuvuruga amani kwa watu ambao hata hili jambo hawalielewi lilivyo

natena wasitubuthu kuchokoza nyuki!!
 
Kama yeye ni bingwa basi ajitokeze hadharani mbona kajificha? Hawa jamaa nani atabisha hawafanani na jamii ya akina Osama? wanaliazisha halafu wanakimbilia mapangoni halafu wafuasi wao ndio wanapata mkong'oto!
 
Ndio tatizo lenu...hamtaki kuchanganya na akili zenu....kama umeambiwa Nyerere alikuwa anasamehe watu akiombwa na askofu,wewe hukufanya udadisi wowote....alisamehe wangapi kwa kuombwa na askofu? Yule mshenzi alitoka Cyprus,sasa dadisi nguvu walozonazo maaskofu wakuu wa Orthodox wa Cyprus, Ugiriki na Urusi ndio ujue pale msamaha uliombwa na zaidi ya askofu. Pia...samehe saba mara sabini.

Hata mafisadi wakiomba msamaha wasamehewe.
Tatizo liko wapi?
Kama angekuwa anasamehe mara saba sabini asingeweka watu vizuizini na wengine kuwaua.
Angekuwa kiongozo mzuri wasingetaka kumpindua.
Angekuwa kiongozo mzuri asinge iacha nchi ikiwa imefilisika.
 
hawa ndugu zetu waislam hata tukisema tuwaachie nchi waishi wenyewe, bado wataanzisha mzozo kama ilivyo somalia.watajitokeza watu waanze kudai wanataka waislamu wote wafuate dhehebu la washia.halafu hawa usalama wa taifa sijui wako wapi!!.ama kazi yao ni kuwashughulikia wanasiasa wa upinzani tu?. Maana hii redio imani pamoja na ponda wao maneno wanayoongeaga ni hatari sana kwa amani ya nchi yetu. Ni uchochezi mtupu!1. Hii hali ikiendelea nadhani yatakuja kutokea maafa makubwa sana huko mbeleni. Maana hata sisi wakristu uvumilivu utatushinda

enyi uzao wa nyoka...... Mnataka ishara.....
 
Kumuendekeza tu, udhaifu wa serikali yetu! Huyu JKN angelimuweka kizuizini akakoma. Amuulize Tuntemeke na yule jamaa aliyesema serikali nimeiweka mfukoni. alitolewa na Askofu makarios baada ya kumpigia magoti JKN

NA YEYE HUYO JKN YALIMSHINDA ASINGEFIKA HATA MIAKA 2 ..ALIACHIA ALIJUA AMESHALIKOROGA....
hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....
 
Back
Top Bottom