Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

Jitu halijulikana hata limetokea wapi, la ukoo gani, la nchi gani! Linaingia na kuanzisha ujinga maadam limeanzia msikitini mnalipokea na kulisikiliza, sasa limetoweka mnahangaika lirudi kuvuruga amani tena! mmerogwa?
 
nimesikia amepotea katika mazingira ya kutatanisha jana hadi leo hajapatikana... Wafuasi wake wameleta madhara sana kuchoma office za ccm na bar za unguja

kuna sehemu kajificha mwenyewe then wafuasi wake wanadai eti katekwa! Ili wapate sababu tu ya kulianzisha .....!
 
attachment.php
 
Hawa jamaa wenye asili ya mashariki ya kati hawawezi kuwa watu wa amani labda kwakuwa ni bedwins (wazururaji wa jangwani)
 
Anaonekana kigaidi kabisa

kwani ugaidi una alama?
au nawe unamaanisha gaidi ni mwislam anayefuata dini. tusiimbe mwimbo tusioujua hayo ndo maneno ya marekani amewawekea mdomoni na nyie mnaimba niambie gaidi nia nini? na nani gaidi, bush anayepanga matukio ya kujilipua na kuangamiza taifa huru la afghan?
 
Poor tanzania mtu hamiliki jeshi lakini ana nguvu ya kutikisa nchi something wrong with our top leaders
 
Shein asipoangalia nchi ya zenj itamshinda kutawala,watu wametulia amani imerudi zenj,wanakuja wajinga wanamteka sheikh farid na wamemteka kama walivomteka dr. Ulimboka,na inaonekana serikali inahusika mojakwa moja,mnawachokoza wakifanya fujo mnalalamika,huyo farid anaheshimika zenj kuliko shein,seifsharif,seif idd,huyo anapendwa na majority ya wazenj 90% KWANINAVOWAJUA WAZENJ WASIPOMUACHIA NDANI YA MASAA 24 ZENJ HAITAKALIKA,MPK MUDA HUU ZENJ HAKUKALIKI KWA VURUGU,CHEZEA WAZENJ WEYYE?WANA MSIMAMO NA HAWAOGOPI,NATABIRI ZENJ ITAKUA KAMA MISRI,NA TAHRIR SQUARE NI DARAJANI.
 
kwahiyo kushikwa huyo gaidi kunahusiana vipi na kuchoma makanisa? Wachungaji ndo waliomshika? Vinzanzibar vyenyewe hata milioni havifiki halafu vinajifanya kujitutumua kwa taifa kubwa tanganyika, mtatulizwa tu bomu moja.... kigauni ( kanzu) kule!
 
ulisikia wamechoma kanisa?au yale mabaa siku hizi yamekua makanisa?usilolijua ni usiku wa kiza mkuu,naona umekurupuka,una uhakika gani kama hao wamechoma kanisa?hiyo unayosema eti watapigwa kibomu kimoja wanyamaze ni zamakale hizo,wazenj hawatishiki wana damu za kimisri na zakilibya wale hawatishi nyau.
 
nawashangaa watangnyka wanavyowachukia waarabu au kwasabbu nyng mmeubwa weusi tii na machogo makubwa
 
serikali ina mkono mrefu na wala siamin kama imeshindwa kuwadhibiti wana uamsho! kamata peleka ngwara hao hatuwahitajiii
 
shein huwezi shindwa tupo nyuma yako kuilinda nchi yetu kwa kila hali zidi ya majangili hawa
 
Back
Top Bottom