Picha hizi zinakukumbushia wapi??????????

je hii pic inawakumbusha nini na wapi
156310_110109079062301_100001896272261_83575_4802328_n.jpg
hii inanikumbusha maulidi tanga barabara ya 13 na kule mabokweni, mtimbwani,maramba na moa. Ndyoko uko wapi na hii avatar yako?
 
hii inanikumbusha nilipokua kijana mdogo naoga na mtoto wa jirani yangu anaitwa Chiku
406559_273955249331560_100001512628862_766594_594638505_n.jpg
 
sasa nani aniambie hii anaikumbuka sana eti kalewa Cocacola, wacheni ushamba , ccm huwapa Gongo hawa jamaa
320958_10150363247868620_818678619_8103635_157311672_n.jpg

Mkuu nguvumali, hizo chupa hutumika kupimia gongo. mm sijawahi kuona chupa za bia zikitumika kupimia au kunywea gongo, pia huyo jamaa mbona kama suluwali imeshushwa chini? nawasi wasi vijana wamemwagia mchanga jichoni!
 
SASA KWA WALE WAKAZI WA HAPO DAR , hii picha yawakumbusha nini
393869_2972326715884_1493263980_2987451_292019578_n.jpg
Duh!!!!HII KALI SANA,IMENIKUMBUSHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM,HAPO MNAWAHI LECTURE ZA ASUBUHI!!!!MABIBO HOSTEL!!!!HAHAHAHAHAHA!!!SIJUI SIKU HIZI KUMEBORESHA AU MTINDO HUUHUU!!!
 
Sema wewe kama wewe hizi picha zinakukumbushia wapi? au unakumbuka nini?

Hiyo ya kwanza inanikumbusha siku ya kwanza ulipotoka kijijini kwenu na malboro kuja dar kwa mara ya kwanza mwaka jana tarehe 25.12. watu ubongo walipigwa na butwaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom