Picha; hizi ndizo barabara za hatari zaidi duniani, tazama...

Hapo adabu kuendesha pia inahitaji moyo. Sana kuendesha huko

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwa hapa Tz barabara hatari zaidi ni ile itokayo chimala Mbeya kuelekea Matamba barabara hutoisahau lpo kwenye mlima mkali madereva waliowengi katika mji kama Dar hawawezi kupanda mlima huo,una kona 52,kona maarufu zaidi imepewa jina inaitwa Mwadangala Nikona ambayo ukiwa na roho nyepesi inabidi ufumbe macho,inabonge la korongo ambalo ni matata sana.
 
Back
Top Bottom