Picha, Historia, Maelezo na kadhalika. EID EL FITR spesho...

WAISLAM WA LONDON WALIPO KUTANA PALE MANOR PARK KWA AJILI YA SWALA YA IDDI JANA.
NDUGU YETU SAIDI YAKUBU ALIKWEPO NAYE HAPO KWENYE BARAZA LA IDDI MANOR PARK, EAST LONDON, (SEHEMU YA LONDON YENYE WATANZANIA WENGI ZAIDI).

MAELEZO YANATOKA KWENYE BLOG YAKE: http://www.saidiyakubu.blogspot.com/


LAKINI ZAIDI YA HAYO NINGEPENDA KUCHUA NAFASI HII KUWAFAHAMISHA KUWA BALOZI WETU BI MWANAIDI MAJAAR HAJATOA SALAM ZOZOTE KWA WATANZANIA WAISLAM WALIOPO UK KWA SABABU BALOZI TUMEAMBI ALIKUWA "BIZEE" TOFAUTI NA BALOZI KIBELLO ALIYEONDOKA AMBAYE PAMOJA NA MAPUNGUFU YOTE HUWA ALIKUWA NATOA SLAMA NA KUJUMUIKA NASI PALE MANOR PARK.ONCE AGAIN BALOZI KAONYESHA JINSI GANI ALIVYOKUWA NA NIA YA KUJUMUIKA NA WATANZANIA KWA UJUMLA




VILE VILE KATIKA HALI YA KUSHANGAZA NI KUWA MWENYEKITI WA TANZANIA ASSOCIATION UK BWANA ABOUBAKAR FARAJI ALIGOMA KUTOA MCHANGO WA KUFANYA BARAZA LA IDDI KWA SABABU WAISLAM WA NORTH LONDON WALIKATAAA MASHARTI YAKE YA KUTAKA KUWEKA MATANGAZO YAKE WESTERN UNION!

SWALI NI JE TANGU LINI BARAZA LA IDDI LIKAWA SPONSORED NA MATANGAZO?








IMG_1845.JPG


IMG_1844.JPG


IMG_1853.JPG


4%5B1%5D.JPG


42%5B1%5D.JPG


eid+el+fitr+244.JPG


eid+el+fitr+247.JPG


eid+el+fitr+248.JPG


eid+el+fitr+251.JPG

kwa hiyo huyo mmama balozi yupo bize hadi jumamosi na juma2 au ?
 
tumekustukia unataka kututoa kwenye mada inayowauhusu ma boss wako umechelewa. Halafu naona kama vile unataka watu wajue dini yako vile?
 
Misaada ya mama Mkapa inafikia walengwa wapi? Kilimanjaro na Dar?

Kaomba misaada kwa kutumia jina la nchi nzima lakini zaidi ya asilimia 90 ya wilaya hata hazijui huyu mama kapewa nini na kapeleka wapi.

Huyu mama kapokea misaada mingi na mikubwa mno, waliofaidika nayo ni watu wake wa karibu tu.

atleast ushasema kuna watu wanafaidi angalau wanapata hiyo misaada na umesema Dar na Kilimanjaro usilete ukabila..something is better than nothing kumbuka..au niambie First Lady mwingine ambaye ashawahi kitu kama hicho..zaidi ya kuvaa na kuuza sura tuu!hata huyo aliyeanzisha ya kwake sasa ebu niambie ni msaada gani wa maana uliokwisha tolewa??but huyu mama Mk.hata wameshastaafu bado misaada yazidi tolewa..tukiendelea leta wao wazanzibari na sie wazanzibara thing hatutafika jamani
 
atleast ushasema kuna watu wanafaidi angalau wanapata hiyo misaada na umesema Dar na Kilimanjaro usilete ukabila..something is better than nothing kumbuka..au niambie First Lady mwingine ambaye ashawahi kitu kama hicho..zaidi ya kuvaa na kuuza sura tuu!hata huyo aliyeanzisha ya kwake sasa ebu niambie ni msaada gani wa maana uliokwisha tolewa??but huyu mama Mk.hata wameshastaafu bado misaada yazidi tolewa..tukiendelea leta wao wazanzibari na sie wazanzibara thing hatutafika jamani

Mtaalam,

Kusema mama Mkapa anapeleka Kilimanjaro na Dar misaada yote ambayo anaomba kwa jina la Tanzania ni ukabila? Labda huelewi maana ya ukabila. Huo ni ukweli mtupu.

Hata mafisadi tunaowasema hizo pesa wanazoiba kuna watu wachache wanafaidi.

Mama Mkapa hakuna cha maana chochote alichofanya zaidi ya kuiba mali za Watanzania ikiwemo zile nyumba zilizokuwa za NBC.

Mama Nyerere hakuwa anapokea misaada ya aina yoyote, wala alikuwa hatumii Ikulu kujinufaisha kwa faida yake.

Ongea lingine lakini kumsifia mama Mkapa? Labda kama na wewe umefaidika na ufisadi wao. Huyu mama kapokea mabilioni ya fedha za misaada lakini sijui kama hata anaweza kuwaambia Watanzania kazipeleka wapi.

Mama JK na yeye asipoangalia ataishia tu kuwa kama mama Mkapa.

Watu kama hawa wanatakiwa kushitakiwa na baadhi ya mikoa ili waeleze kwanini misaada ambayo walijifanya ni ya Tanzania nzima haijafika kwa walengwa?
 
Hawa jamaa nao wana uislam wao wa kizamaniiii!!! kwani lazima balozi aje kwenye mnuso wenu?? Mnatutia aibu waislamu wenzenu na mambo yenu ya ki-long kulalamikia vitu visivyo na msingi wowote......waislamu wa UK mnatia aibu uswahili umewazidi!!
 
mmhh yourname ismine muislam mwenzetu wewe eeeh, halafu uislamu wa kizamani , maana kwa uislamu wako kuna uislamu wa kileo. pole
 
Mama mkapa na yeye ametumia title(ikulu) kukusanya mali, fursa sawa kwa wote lilikuwa jina tu,nilichoweza kukishuhudia katika kipindi chake ni kuwaleta wa mama saba saba (kwenye gulio la kimataifa) kuonyesha kazi zao za mikono, je hiyo ilitosha kuwapatia fursa?
Nasikia na zile apartments karibu na magorofa ya posata (opp na mlimani) ni za kwake,(sina proof hapa)
 
mmhh yourname ismine muislam mwenzetu wewe eeeh, halafu uislamu wa kizamani , maana kwa uislamu wako kuna uislamu wa kileo. pole

Ndio na maneno yangu siyabadilishi......uzamani wenyewe ndio huo, wa kulalamikia upuuzi na uswahili ulokithiri.
Nimekuwa naangalia hapa upuuzi wenu, kuanzia ile ya futari kwenye msikiti wa St. nanilii na maujinga mengine......kwa kifupi mnatia kichefuchefu na kuidhalilisha dini yetu!!!!.
 
jamani naombeni hii thread isigeuke kuwa ya kidini wala ya kikabila sijui mama mkapa kukabidhi misaada specific regions in tz, wote sie ni watz, baadhi waislam baadhi wakristo hivyo tuheshimiane tusiwe na tofauti kubwa angalau zipo tofauti kidogo hapa na pale, si mnakumbuka christmas bongo familia ya kikristo inawaletea mpunga waislamu nyumbani kwao au mwezi Mtukufu wa Ramadhan waislamu hupeleka futar kwa wakristo na kula pamoja eid, sasa sio kwa kuwa mpo nje ndio mjione sijui waislam wa leo, sijui wa zamani, naombeni hayo mambo tuyaache tafadhalini ! it doesnt take much kuelewa, hope you understand me !
 
*am still trying to figure out if its worth it me kumjibu SHALOM, my mind is like hell to the no, Kada you cant waste a damn click answering him*, ok so its not worth it !
 
Back
Top Bottom