jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Mkuu atafute wanaume wengine tena?lolhakuna ombaomba hapo,kwa nini wavue viatu na kuvificha kwa nyuma?
huyu anatafuta wanaume na atawapata.
mi namshauri akakae karibu na ofisi ndogo za ccm pale lumumba hapo labda atawapata walimzalisha.