PICHA: Hii ndio hali halisi katika wodi za hospitali ya taifa Muhimbili leo

mkuu inasikitisha sana jengo la watoto naona jeupe si vitoto vitakuwa vinajifia tu. muhimbili ambayo watu wanalala chini leo imegeuka ghost hospital na bado kamati ya ulinzi na usalama dar wanasema huduma zinaridhisha!!
 
kuna radio 1 leo wamesema MNH ma dr warudi kazini, wanamdanganya nani ss? Ifike mahali propaganda ziachwe.
 
NDUGU YETU WILLIAM ANASEMA KATI YA VIJANA WA CCM MMOJA HUYU HAPA KWENYE PICHA NDIO WANAFANYA MUHIMBILI KUWA

INAFANYA KAZI... LAKINI WODI NYINGI NI EMPY; SASA SIJUI WAKO WAPI KWENYE MAENEO YA MUHIMBILI

  • 315309_4303828433147_1545130308_n.jpg

    Mr. Kasesela

    BY William J. Malecela

    CCM SIKU ZOTE INA VIONGOZI WA KESHO NA HUYU NI MMOJA WAPO WA WANAOIFANYA MUHIMBILI HOSPITAL SASA HIVI IENDELEE, HASA KULE MOI!! KIDUMU CCM!! - LE MUTUZ!!

Mr.Dhaifu kama anapata mda wa kwenda Rwanda, kweli hayuko serious.Kwa hili Dhaifu Gvt imegonga mwamba
 
ohhh!my GOD what does this mean,hizi propaganda hata shetani alikua akizifanya pindi mungu alipo mtuma MUSA kwenda kuwakomboa wana wa ISRAEL,pale mungu alipoonesha miujiza yake kwa farao,shetani naye akapeleka vimiujiza vyake uchwara ili kumpa kiburi farao kuwa nae anaweza,sasa haya ndo yanayofanywa na serikali kuaminisha watu kua imesikilizwa kumbe HOLA!!!!!!!!!!!!!!
 
Ina maana wamegoma tena au hawajarudi kazini, tulipigwa changa la macho tu!
 
Wadau, hii imenigusa sana. Lakini tumshukuru mungu kwa kila jambo na tuzidi kumwomba ili atunusuru na hali mbaya sana inayotukabili. Kimsingi wanaoumia ni sisi wananchi hasa wale walala hoi. Ni wazi kuwa madaktari wanadai haki ya msingi sio tu kwa wao wenyewe bali kwa taifa zima pia. Tuombe kwa nguvu hii mambo ipite japo twaumia. Mungu wa miungu na atupiganie.
 
Sasa tanganyika hatuna budi kujvunia mafanikio tuliyo yapata kwa upande wa AFYA kama tumeweza kutokomeza maradhi kiasi cha wodi zote kubaki tupu!!!!pongezi sana kwa sirikali yetu japo mnatukejeri mnasema ni DHAIFU.Sasa mmejionea wenyewe,na baada ya mafanikio aya kwa upande wa AFYA sasa nguvu zetu zote tunazielekeza kwenye ILIMU. KIGUMU CHAMA TAWALA Kudadadadeeeeeeeeeeeeeki
 
mkuu inasikitisha sana jengo la watoto naona jeupe si vitoto vitakuwa vinajifia tu. muhimbili ambayo watu wanalala chini leo imegeuka ghost hospital na bado kamati ya ulinzi na usalama dar wanasema huduma zinaridhisha!!
Msiwe na wasiwasi hali inaendelea vizuri--rejea propaganda za taarifa za Muhimbili jana
 
Mpaka pale tutaheshimiana na kuthaminiana kama wanadamu ndipo kila mmoja wetu ataweza kujivunia utaifa wake!!
 
Wagonjwa karibuni wote walipona ,na wagonjwa wapya hawakuwepo kwani mgomo huu umesaidia watu wengi sana kuwa immune au tuseme miili ya Watz imeweza kuzuia maradhi yasiwaingie ,miili ilijirekebisha kwa kutoa hormones maalum za kuzuia kupata maradhi ,baada ya ubongo kuwasha stimuli zinazouelekeza mwili kuwa hakuna madaktari hospitalini,yaani nguvu ya mwili ya kujikinga ilifanya kazi zaidi ya asilimia mia moja.
 
NDUGU YETU WILLIAM ANASEMA KATI YA VIJANA WA CCM MMOJA HUYU HAPA KWENYE PICHA NDIO WANAFANYA MUHIMBILI KUWA

INAFANYA KAZI... LAKINI WODI NYINGI NI EMPY; SASA SIJUI WAKO WAPI KWENYE MAENEO YA MUHIMBILI

  • 315309_4303828433147_1545130308_n.jpg

    Mr. Kasesela

    BY William J. Malecela

    CCM SIKU ZOTE INA VIONGOZI WA KESHO NA HUYU NI MMOJA WAPO WA WANAOIFANYA MUHIMBILI HOSPITAL SASA HIVI IENDELEE, HASA KULE MOI!! KIDUMU CCM!! - LE MUTUZ!!

Kwa hayo maneno ya Malecela, naanza kuhisi kuna mkono wa vyama vya siasa katika huu mgomo.
 
Tupo wapi, tulikuwa wapi na tunaenda wapi?
Kweli maisha yetu yamefikia hapo!
 
Back
Top Bottom