PICHA: Heshima za mwisho na mazishi ya Kanumba!

huyu hapa chini ni mchuchu wa sugu?wapi kada shy rozi?




DSC_0095%5B2%5D.JPG

Sugu akitoa salaam










 
attachment.php

Watu ni wengi sana.....jua ni kali lakini hakuna anayelijali....

attachment.php


Jeneza la mpendwa wetu......

attachment.php

Waombolezaji wakizidi kusogea eneo la msiba.....

DSC_0095%5B2%5D.JPG

Sugu akitoa salaam

DSC_0043%5B1%5D.JPG

DSC_0083%5B2%5D.JPG

DSC_0061%5B1%5D.JPG

DSC_0054%5B1%5D.JPG

DSC_0058%5B1%5D.JPG

DSC_0059%5B1%5D.JPG


AqHoUB2CEAI6aLY.jpg

AqHuQp9CEAALjuk.jpg


AqHo1X-CIAAW8dz.jpg

Umati wa watu makaburini

Nani kagharimia kumhifadhi vema ndugu yetu huyu?
 
Mbona hili kaburi liko tofauti?

Steve! It is now that I believe that you are no more! Since last friday, you have united our motheland Tanzania. We have even forgotten who is a "gamba" and who is a "gwanda"!
Rest in peace, true son from Sukuma land! You will be missed forever!
 
Sasa CCM na Serikali yake wakitaka kujuwa tatizo la ajira lilivyoiathiri nchi hii waangalie hayo maudhurio ya msiba wa Kanumba na leo ni siku ya kazi.
Hivi nguvu kazi hii yote kweli ilipaswa kuwepo hapo kweli? Nina uhakika hapo nusu ni waombolezaji wa kweli na nusu ni wale hata zikipita mbio za mwenge nao huunga tela.

umeongea vyema! Watu wanafanya kazi sa ngapi?..hata mie nawashangaa watanzania..
 
now ni adult, after all he'was not the first, the ugly thing's mtoto mwenyewe wamemlea wenyewe yaani wamekula kuku na mayai yake! anyway RIP the Great
 
kamanda sugu katuwakilisha vizuri!...


R.I.P Kanumba! huu umati nimeamini wewe kweli ulikuwa ni the great!
 
yaani wewe unapoishia kushangaa mi ndio naanzia hapo! yaani sielewi watu wote hao hawana kazi? a part from actors & actresses, musicians, and politicians, watu wote hao hawana kazi au wajasiriamali? hawana mabosi?
 
Unaposikia mwanadamu amemchinja mwanadamu mwenzake...usishangae ni watu kama hawa..

Kina nani mkuu, kina Kiziza kwa kuwasema kina marehemu kuwa ni wahasherati, au kina marehemu kuwa na uhusiano na watoto, ila lulu alishasema yeye sasa hivi ni mtu mzima kwa sababu alishafanya sherehe yake ya kuzaliwa akiwa amefikisha miaka kumi na nane mwaka jana. Natanguliza samahani zangu za dhati kwa yeyote niliyemkwaza.
 
Back
Top Bottom