PICHA:Heche anywea FFU watanda njia ya kimara Ubungo..

yaaani hawa ffu WAKATI NAISHI Ukonga miaka ya 90, walikua wananipiga sana mizinga ya bia, ni maskini sana, lakini wanatumika kunyanyasa wanaopigania maslahi yao, inasikitisha sana

Very controversial, they should be ashamed of themselves!
 
Wana CDM!!!!!! Tusiogope hata kidogo kwani ni wakati tu ndiyo haujafika kwani hata wangeleta Vifaru ya kivita hakika nawaambieni Nguvu ya Umma haitazuilika.Wanaringa sana na hawa mipolisi yao wachache lakini nao wakajisahau kabisa ya kwamba nguvu ya umma ni mwanzo mwisho,,,,,,,,,,,,,,,,nawasikitikia sana hawa polisisisem sana maana watakuja kujutia usalimu wao kikazi. Mapambano yatakuja endelea vibaya pasipo ya kuamini wajamen!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TUMWOMBE MUNGU NA SIYO MWANADAMU ATUPE MABADILIKO KWA HAWA MAPAPA WAPATE KUWA NA MIOYO YA :washing:MAGEUZI:washing:
 
ff1.jpg
ff.jpg

Mkuu hapa ni Libya au ni wapi?
 
Back
Top Bottom