Na yawezekana kabisa lengo la kumshambulia mpaka kumuua ni kuharibu ushahidi wa picha alizokuwa amekwisha wapiga! Wasijue kuna mwingine anawapiga picha.Askari saba wanamshambulia mtu mmoja asiye na silaha yeyote zaidi ya kitendea kazi chake(camera).
Ni wazi watataka kupotosha, video ya tukio zima itawekwa YouTube.
Kama waandishi hatutashirikiana katika hili, naachana rasmi na tasnia hii.
Propaganda za kijinga hizo, ni wapi hizo picha zinapoonesha wameuwa?
Muuwe nyinyi halafu mje kudanganya humu? tutawakamata tu.
Hapana, uume wake marehemu unaonekana kwenye picha. Ni mbaya, haipendezi kwenye public domain. Sitofanya kumfurahisha mtu, ni vyema kuzingatia nilichoahidi kukisimamia.
Jamani hizi picha ninazituma BBC na CNN ili ulimwengu wote ushuudie jinsi polisi wa Tz wasivyo heshimu haki za binadamu na kazi za waandishi wa habari kwa ujumla!
Hapana, uume wake marehemu unaonekana kwenye picha. Ni mbaya, haipendezi kwenye public domain. Sitofanya kumfurahisha mtu, ni vyema kuzingatia nilichoahidi kukisimamia.
Subiri kwenye ripoti yao, watasema "marehemu alikuwa anataka kumnyang'anya FFU silaha, silaha ikafyatuka wakati wa kuigombania."Marehemu anaonekana akimkumbatia askari kiunoni na si kukamata silaha.Askari wote hao na bado wakamlipuwa?Tis is too much na huu ndo mwisho wenu!