Picha: Harambee ya M4C yavuna milioni 323 za kitanzania jijini Dar

Lengo ni kupata bilioni 5 lakini wamepata milioni 70 pamoja na ahadi, kama Dar mlipanga kupata milioni 500 ndio sehemu mliokuwa mnaitegemea lengo limekwama...sasa unakwenda kumualika Sinta na Joketi unategemea nini.

Akili ya mfukoni ya mfuko wa nyuma. lengo la fund raising kwa m4c ni 5b sio lengo la khafla moja!! Usiifadhi akili zako unapokalia.
 
Mkuu Hizo zinatutosha sisi ambao tunashindia Kipande cha Muhogo na Maji. Kwa Nyinyi Vijana wa CCM mlio zoea Baga na Piza Haziwezi kuwatosha. Tutawapa Vijana wetu hizo pesa Kidogo wataenda kila kona ya Nchi wakishindia na Kulalia Kiapnde cha Mhogo Mbichi na Maji lengo ni kuleta Ukombozi wa Kifikra hata kwa Ndugu zenu Vijijini wanaoshindwa hata Kumudu Kipande cha Muhogo Mbichi
.
IMG_0689.jpg




IMG_0694.jpg
 
Akili ya mfukoni ya mfuko wa nyuma. lengo la fund raising kwa m4c ni 5b sio lengo la khafla moja!! Usiifadhi akili zako unapokalia.

IMG_0590.jpg

Warembo Jokate Mwegelo na Sinta wakila pozi mbele ya Camera ya MO BLOG.

 
Kama unawaza hivyo umepotoka ndugu yangu. Sitegemei comment kama hii kutoka kwa mtu anayejiita Great thinker. Hii ungeifanya vijiweni na kwenye baa za gongo ndio wangekuelewa.

Wananchi siku hizi wana uelewa wa masuala ya kodi, huwezi kumtishia mtu TRA watakufilisi. Watu wanatimiza wajibu wao, kwanini wafilisiwe? Ingekuwa ni kirahisi hivyo, ungekuta Mbowe sasa hivi kesharudi kijijini kwao Machame.
na wewe brother unajitahidi! yaani una ngozi ngumu kama kiboko! ambayo haingii mshale kimchezomchezo yaani matukio yote haya yanayotokea huna hofu unaingiza bichwa lako humu kubishania na clear issues yaani nakufananisha na mtu anayeshindana na redio na nahisi huna hata mshipa mmoja wa ufahamu na aibu lo! masikini kama una watoto waesabu wamekwisha ukiwa na libaba la haina yako lisilojua move inavyoenda la nini? hivi jamii yako inakirimiwa ipasavyo na selikari hii bibi yako kule sitimbi anatibiwa bure? mtoto wa dada yako kule sitimbi anapata elimu bora? hivi yule binamu yako kule sitimbi anamaisha bora? mbona unapenda kujichetua akili kiasi hiki? narudia huna hata mshipa mmoja wa soni na ufahamu. masaa yenu yanaesabika yamebakia 28,188 kudadaki!
 
Sijui unaizungumzia tanzania ipi!. 2010 wafanyabiashara wamechangishwa kwanguvu na vitisho. Tulio kwenye field halisi tunakumbana na mengi mno!. Pigania utaifa si chama cha mabwe ........!
kama unawaza hivyo umepotoka ndugu yangu. Sitegemei comment kama hii kutoka kwa mtu anayejiita great thinker. Hii ungeifanya vijiweni na kwenye baa za gongo ndio wangekuelewa.

Wananchi siku hizi wana uelewa wa masuala ya kodi, huwezi kumtishia mtu tra watakufilisi. Watu wanatimiza wajibu wao, kwanini wafilisiwe? Ingekuwa ni kirahisi hivyo, ungekuta mbowe sasa hivi kesharudi kijijini kwao machame.
 
Mkuu Hebu usiwe muongo kiasi hicho Hukumbuki dr remmy ongala alijaribu kumpigia Mrema kampeni akambiwa siyo raia achilia mbali wakina jenerali ulimwengu.sasa ni wahindi wangapi wanatishiwa siyo raia wasipochangia ccm Hebu acheni hizo tabia . Askofu Yule muuza madini ya tanzanite Arusha serikali ya ccm ilimfanya nini? Watu wanachangia ccm kwa vitisho vya dola. Mkuu hayo mavyakula ya usiku usiku nafikiri yanalewesha ndio maana huyaoni hayo

Na hii ndio imeifanya nchi hii kuwa mikononi mwa wahindi.lol!
 
M4c daima na tunaendelea kuchanga mpaka kieleweke na tupo wafanyakazi wa idara nyeti za serikali tunachangia kwa sana. Nape na mkama mjinyonge sana mapema kama ikiwezekana
 
Wengine hapo hasa akina dada ni wauza sura na kutaka viti maalum. Jamani type ya Sinta anaweza kutoa kiasi gani hapo kama si kutoa mchango in kind!?
 
Lengo ni kupata bilioni 5 lakini wamepata milioni 70 pamoja na ahadi, kama Dar mlipanga kupata milioni 500 ndio sehemu mliokuwa mnaitegemea lengo limekwama...sasa unakwenda kumualika Sinta na Joketi unategemea nini.
kilaza jiulize hilo lengo ni la muda gani? M4C imewashika vibaya heh? anyway hakuna lengo lisilo na muda
 
IMG_0442.jpg


Huyo wa kushoto ambaye yupo uchi kifuani, mabegani na mgongoni hawezi kuchangia pesa namfahamu vizuri sana!!!
 
Kumbe zilipatikana mil 300 tu??? Pamoja na promo yote, kama wameshinndwa kufikisha lengo la mil 500 walilokuwa wameliweka, vivyo hivyo na 2015 kura hazitatosha!!

Mkuu Rejao, unajikaza kisabuni sabuni, wakati bosi yako Nape analalamika kana kwamba kabanwa nyeti zake ile mbaya.
 
Haujui Lema yuko Nje ya Nchi; Haukuona Picha yake humu kwenye Jamii Forums akiwa UK akiangalia Helikopta Mpya?

na nadhani anaelekea CHINA?

hahahahahaha! mkuu nimecheka kama zuzu, ok. usijali sana, Lema alikuwepo mkuu.
 
nimegundua wengi walevi..wanaweza kuharibu chama hichi..plizz Peoples power tuwe makini na kundi lisilo julikana
 
Makamanda, Mbona Hizi Picha Zinakataa Kufunguka Tafadhari Naomba Maelekezo Kwa Anayefahamu
 
Back
Top Bottom