Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

Its now or never, Muda wakutoka majumbani na kuanzisha revolution umewadia, tutokeni majumbani twendeni mitaani Watanzania wenzangu tuacheni uoga wakipumbavu hii nchi yetu kama tusipoipigania mnafikiri ni nani ataipigania? Your country need you now than ever
 
MIMI NAONA SERIKALI NAYO IMEGOMA. KAMA NI HIVYO BORA NAYO ITANGAZE MGOMO WAKE DHIDI YA WANANCHI WAKE NA MADAKTARI.:eyebrows::A S embarassed:
 
Tunaposema ccm na uozo wao waondoke mnabaki kusema hakuna chama mbadala wajinga kweli watanzania serikali ya ccm muendelee hivyo hivyo kutochukua hatua ili watu wafe tu wengi wengi tu ndiyo watanzania wataamka toka usingizini.kiburi cha wabunge ni ujinga wa watanzania hawaelewi shida yao ni pilau na tshirt na kofia,ccmk hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
namshukuru Mungu nilikuwepo kwenye maandamano lkn tbc ndio hajaonesha nguvu zetu hata kidogo, na vijana wenzangu tujitoe katika harakati za ukombozi katika utawala huu dhalimu
 
nashangaa, mbona vyama vya upinzani vimepoa namna hiyo? kimyaaa
 
namshukuru Mungu nilikuwepo kwenye maandamano lkn tbc ndio hajaonesha nguvu zetu hata kidogo, na vijana wenzangu tujitoe katika harakati za ukombozi katika utawala huu dhalimu

Mimi leo nilikuwepo kwenye maandamano, ila nimeshangaa watanzania wenzangu walivyo wajinga na wapumbavu hata kuunga nguvu walishndwa wamebakia kushangashangaa. Lakini sitokufa moyo kwa ajili ya wapuuzi wasio ipenda hii nchi, nitayasafiria maandamano yoyote yatakayo hakikisha magamba wanang'oka hata bkwa mtutu ikibidi nitaingia msituni kuhakikisha wanang'oka nipo tayari kufa kwa ajili ya kuitetea nchi yangu
 
Kitu kimoja ambacho serikali hakikupigia mahesabu ni kuwa watu will turn against the government; wao walidhani watu waturn against the doctors "kwa kukosa uzalendo".. nilisema mwanzoni serikali "will lose" and in this case it is already losing!

Mkuu

wapuuzi fulani serikalini walifananisha mgomo wa madaktari na wanafunzi wa vyuo..... Na hii wakubaliane, wasikubaliane.... serikali imefungua rasmi migomo mikubwa miwili

UJINGA NA KIBURI VYA WATU WACHACHE SANA
 
Siyo wakati wa kujadiliana wakati wewe hujui kama kesho utaugua au laah, ajali ni nyingi tutaenda wapi? TUINGIE barabarani tu basi hakuna jingine
 
Kitu kimoja ambacho serikali hakikupigia mahesabu ni kuwa watu will turn against the government; wao walidhani watu waturn against the doctors "kwa kukosa uzalendo".. nilisema mwanzoni serikali "will lose" and in this case it is already losing!

Serikali ya ccm imekuwa ikijigamba kuwa yenyewe ni serikali sikivu. Sasa iko wapi? Ingekuwa sikivu ingemaliza malalamiko ya mwanzo kabisa ya medical interns! Leo hii tusingefika hapa tulipo.
Serikali yetu imezoea kufanya kazi kwa mazoea na kushindwa kutambua kuwa these are different times!
Watu wataachaje kuwa against the government ili hali wanajua au wanaamini serikali inapesa lakin haitaki tu kuwalipa madaktari vizuri?
Watu wanajua kiasi gani kilitumika kwa wakati sherehe za miaka 50 ya uhuru bila kujali malalamiko ya wananchi kuhusu ulazima wa kila wizara kusherekea for weeks!
Watu walililalamika kuhusu malipo ya dowans nani aliwasikiliza?
Wanalalamika kuhusu safari za mara kwa mara za viongozi wa juu nani anawasikiliza?
Wamelalamika kuhusu kuongezwa posho za wabunge nani aliwatuliza zaidi ya kuitetea kuwa dodoma maisha magumu!

Kama wabunge wanalalamika maisha magumu na mpango wa kuongeza posho zao unakubalika serikalini kwa nini maombi ya madaktari yasikubalike? Watu wanahoji yote hayo na ndio maana wameigeuka serikali na kuitupia lawama zote!
 
Ona mzee kama huyu kajitolea kuandamana lakini vijana wamejipinda kwenye laptop tu....wanafunzi wa UDSM nao kimya lakini linapofika swala la bumu wako makini kweli kweli...

Naona sasa mna tafuta wa kulaumu sio?
Vijana wa UDSM unajua walipo saivi au una ropoka tu?
Unadhani wao hawaumwi?
Kuna mwanafunzi ana kansa,....kafariki jana kwa sababu ya matibabu kusimama
toka week ilo pita ingawa hakua mbali na kifo hicho anyway.

Una lalamikia wanafunzi wa UDSM?
Unajua what they are going through right now baada ya kuandamana kudai haki zao?
Watu zaidi ya 150 wame fukuzwa,...did you do anything about that?

Bro,Tanzania ya sasa is everyone for him/herself.
Ukilia njaa na kulaumu serikali wenzako jirani wana sherehekea huwezi walaumu kwa
kusherekea kwao.

Yeah,ndio Tanzania yetu,...NO BROTHER HOOD.

Tatizo lako ni lako,...la jirani yako ni lake,....aliye tupa roho mbaya hii naona kaweza kweli
maana hata ugumu wa maisha ukisema saivi utaambiwa "fanya kazi,acha uzembe"

Wabunge wana jifikiria peke yao,...kwamba wao tu ndo wanaona maisha magumu.
Watu wamesoma hadi std7,form4 wanakula mamilioni kwa kulala bungeni,....
mwingine kasoma PCB kwa taabu kweli,masomo magumu kweli,..ana jitahidi kuokoa maisha
ya watu,...leo anadai nyongeza ya mshahara na mazingira mazuri ya kazi hakuna
wa kumsikiliza zaidi ya siasa tu.

Usitafute wa kumlalamikia kwanini watu hawajaandamana leo,wengine bado tunauguza virungu
vya FFU,....wewe una fanya nini?
Mda wa kutangulizana mbele kama mazuzu umepita,.....nitaandamana
pale tu tutakapo kuwa tuna kataa Kiongozi yeyote kwenda kutibiwa nje ya nchi.

HUJUI TU JINSI NINAVYO OMBA WABUNGE WAPATE AJARI,ILA WASIFE WAONJE CHA MOTO KWANZA
KWA MDA HUU.

Poleni sana wagonjwa,....Ni mapito tu.
 
Hakujawahi kutokea nchi yoyote kuachia hali kuwa tete kiasi hiki. Tanzania imeweka historia, lakini itaweka historia kubwa zaidi kwa viongozi wahusika kutowajibika, kutowajibishwa, na umma wa Tanzania wala kutojali juu ya hilo. Hili suala linahitaji maandamano. Justification juu ya maandamano kwa hili ni kubwa kuliko kwenye suala lingine lolote lililowahi kutokea in the recent past katika nchi hii. Watanzania tuamke jamani.
 
Ooh wow this is so sad indeed!....OMG sielewi serikali ya Tanzania inafikiria nini kuhusu umuhimu wa wananchi wao espcially hawa watu wagonjwa ambao hawana hata uwezo wa kwenda kutibiwa kwenye private hospital ambapo matibabu ni very expesive....This is is just a shame to our Goverment..wamekaa wanabishana huko bungeni then at the end of the day wanalipana malaki ya pesa kwa faid ayao tuu!...Jeeez!....
 
Kitu kimoja ambacho serikali hakikupigia mahesabu ni kuwa watu will turn against the government; wao walidhani watu waturn against the doctors "kwa kukosa uzalendo".. nilisema mwanzoni serikali "will lose" and in this case it is already losing!

True! ture!...I am among them people ambao wame-turn against the Goverment....what a shame!..that is the problem kuchagua viongozi waliokuwa na fikira potofu kabisa za kujinufaisha wao na sio wananchi...serikali ni wakati wa Nyerere na siyo this time...ooh how do i wish Nyerere afufuke aone huu uozo kwa kweli.....
 
More pictures from Muhimbili hospital

405827_318693284848499_129370793780750_963637_322825468_n.jpg

417282_318693308181830_129370793780750_963638_1902014866_n.jpg

424138_318693494848478_129370793780750_963641_1896594355_n.jpg

LHRC wakitafakari baada ya kuona hali halisi ilivyo

432138_318693824848445_129370793780750_963651_2057943832_n.jpg

432098_318693854848442_129370793780750_963652_381356718_n.jpg

National Hospital wagonjwa wanalala chini kama mahabusu, karne ya 21!:A S embarassed:
 
Hakujawahi kutokea nchi yoyote kuachia hali kuwa tete kiasi hiki. Tanzania imeweka historia, lakini itaweka historia kubwa zaidi kwa viongozi wahusika kutowajibika, kutowajibishwa, na umma wa Tanzania wala kutojali juu ya hilo. Hili suala linahitaji maandamano. Justification juu ya maandamano kwa hili ni kubwa kuliko kwenye suala lingine lolote lililowahi kutokea in the recent past katika nchi hii. Watanzania tuamke jamani.

Hapo kwenye red nafikiri ndipo kwenye tatizo. Umma ukijali lazima viongozi watawajibika au kuwajibishwa tuu.
 
Back
Top Bottom