Picha: Freeman Mbowe aunguruma Kata ya Daraja Mbili, jijini Arusha

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797




Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa Kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha jana.

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa Kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha jana katika muendelezo wa kampeni za chama chake kuwania nafasi ya uwakilishi katika Halmashauri ya Jiji kupitia Kata hiyo. Mkutano huo nusura usifanyike hiyo jana baada ya kilichoelezwa kuwa chama hicho kilikosa eneo la kufanyia mkutano na hivyo kulazimiaka kufanyia nje ya ofisi za chama hicho Kata ya Daraja Mbili, ofisi ambazo ziko jirani na za mahasimu wao kisiasa, CCM.Aidha, ujio wa Mbowe haukujulikana mapema kiasi cha wananchi kushangaa kumuona jukwaani ghafla tu. Pia, Mh Mbowe hakuweza kumnadi mgombea wa chama hicho kwa kuelezwa kwamba alikuwa anashikiliwa na Polisi alikolazwa hospitali ya Mt Meru na hivyo kushindwa kuhudhuria mkutano huo.

Godbless Lema nae akizungumza mkutanoni hapo.


SAM_5288_thumb1.jpg

Juu na chini ni Sehemu ya umati wa watu uliojitokeza kusikiliza hotuba za viongozi wa Chadema. Katika mkutano huo, zaidi ya sh laki 3 zilichangwa na wananchi hao kusaidia kampeni zaidi za chama hicho katika Kata hiyo.

PICHA / HABARI : KWA HISANI YA
ARUSHA255 BLOG
6324088563257897474-6215399924771158863

 

Wako wapi CUF watuonyeshe NGUO na MALORI ? na Wananchi wanaoficha SURA ? ARUSHA...
 




mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) mh freeman mbowe akihutubia wananchi wa kata ya daraja mbili jijini arusha jana.

mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), mh freeman mbowe akihutubia wananchi wa kata ya daraja mbili jijini arusha jana katika muendelezo wa kampeni za chama chake kuwania nafasi ya uwakilishi katika halmashauri ya jiji kupitia kata hiyo. Mkutano huo nusura usifanyike hiyo jana baada ya kilichoelezwa kuwa chama hicho kilikosa eneo la kufanyia mkutano na hivyo kulazimiaka kufanyia nje ya ofisi za chama hicho kata ya daraja mbili, ofisi ambazo ziko jirani na za mahasimu wao kisiasa, ccm.aidha, ujio wa mbowe haukujulikana mapema kiasi cha wananchi kushangaa kumuona jukwaani ghafla tu. Pia, mh mbowe hakuweza kumnadi mgombea wa chama hicho kwa kuelezwa kwamba alikuwa anashikiliwa na polisi alikolazwa hospitali ya mt meru na hivyo kushindwa kuhudhuria mkutano huo.

godbless lema nae akizungumza mkutanoni hapo.


sam_5288_thumb1.jpg

juu na chini ni sehemu ya umati wa watu uliojitokeza kusikiliza hotuba za viongozi wa chadema. Katika mkutano huo, zaidi ya sh laki 3 zilichangwa na wananchi hao kusaidia kampeni zaidi za chama hicho katika kata hiyo.

picha / habari : Kwa hisani ya
arusha255 blog
6324088563257897474-6215399924771158863



chadema nakupenda kwa moyo wote
 
Jenga chama 2015 muondoe wasanii wanao jifanya ndo wanaongoza nchi
 
Ajabu leo post inayomuhusu Mh Mbowe hadi sasa Ritz hajakurupuka na kucomment, lazima magamba yamepigwa sehem nye.. nyetiiiiiii

VIVA CDM
 
kifo cha ccm ni kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka 2015 ni mazishi tu...
 
Hv haya magari ya mikutano kwann yanapelekwa arusha tu? na mpwapwa tunalitaka
 
kama kawa makamanda,tunataka kazi cyo kupiga majungu ya uraisi,wapi ritz?? wapi zzk?
 
Next time muende Pemba, Unguja, Pangani, Rufiji, Mafia etc

Sio kunguruma pande hizo hizo tu mwisho mtakuwa kama mnabweka
 
Hata Msofe asipojitokeza kwenye kampeni bado atashinda kwa ushindi wa tsunami
 
Kweli tuko tayari kuwapa cdm dhamana kubwa kama hii??
Bado nina was was na hii sera ya majimbo,machafuko yananukia..
 
Back
Top Bottom