PICHA: EDWARD LOWASSA na Amani Karume hawapo ndio Viongozi wa CCM 2015?

615492_10151122872032971_122722474_o.jpg

Tafadhali mafundi nguo wao wachukue vipimo vizuri,sababu karibu wote suruali na makoti size kubwa
 
Kiukweli mzee pinda anastahili hiyo nafasi ya ukuu wa Nchi. Akosaidiwa na Hussein mwinyi toka zanzibar
 
mlevi, asiyependa muungano na mmiliki la kundi la uamsho akishirikiana na fisadi, mwizi, mwenye uchu wa madaraka na afya inayotetereka, uongozi wa nchi utazamisha watanzania:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom