PICHA---Duh mwanaume anaposutwa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733


Huyu kaka ambae jina lake nalihifadhi, ni mkazi wa Mwananyamala kwa mama Zakaria inasemekana amekuwa mchonganishi kwa kutoa maneno huku na kuyapeleka kule mpaka kufikia watu kupigana ile mbaya.Sasa leo mchana wahusika wasichana kwa waavulana ambao wamedai kuchoshwa na tabia yake hiyo wamemkamata wamempiga na kumuamuru kuvaa kanga,wakamwamuru apike, afue, afagie, aoshe vyombo n.k




hapo kapewa kanga kaambiwa ajifunge...ili akafanye kazi za kike



ukimtazama kwa karibu utaona uvimbe,hapo ni baada ya kupigwa maskini yaani mpaka nilimuonea huruma........



amepakwa lipstik na eye shedow akaambiwa aweke pozi




kuna mdada hapa alikuwa anamwambia akae vizuri anyooshee vidole ampake rangi.........




mwanakaka alikuwa naamrishwa kufanya kila jambo kutoka kwa wabaya wake,hapo anaambiwa aweke pozi anyanyue kidole ka maringo...mmmh watu wabaya..

 
HUU NI UPUUZI!
Waliomsuta ni akina kaka au dada? Huyu kaka ina maana ni mlegevu kiasi gani hadi alazimishwe kufanya mambo yasiyo na hata chembe ya utu?
HUU USWAHILI UMEZIDI SASA.
 
Kama alikuwa domo wazi na kuchonganisha watu [pengine anastahili akitoka hapo anahama mtaa! tehe tehe.
 
kampigwa na hao akina dada, ni Kidume kweli huyu?
.. ngoshwe si ndio hapo hata mimi nashangaa nadhani jamaa ni bwabwa kwa kweli mtoto wa kiume uliyekamilika hata wakija kama ni akina dada au kaka valangati litakaloanguka hapo lazima mmoja wao akalzwe ICU. Sasa huyo mpaka huo muda wa kuvalishwa kanga na kupakwa rangi uko kimya tu??.....Mh!
 
Back
Top Bottom