Elections 2010 PICHA: Dr. Slaa in Singida today

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
qx5lsp.jpg

2nk7251.jpg

vno8lc.jpg
 
safi sana wakuu naona ngoma inogile haswaaaa, kidogo nimefarijika kwa hii picha maana ya Tunduma yameninyima raha. But lets keep fighting! wa 16 tupe taarifa mkuu.
 
Mwaka huu CCM hawana chao. Watu walishachoka na chama cha wezi wa maliasili zetu na kodi zetu.
Ukiwaangalia hao polisi mioyoni wanasema "mwaka huu tunakupa kura zetu, tumechoka na CCM inayotulaza kwenye nyumba za bati kuanzia kwenye msingi hadi paa na joto hili na kimshahara cha noti 17."
 
TBC wameonyesha mkutano wa Dr. Slaa akiwa Singida. Picha ya mkutano huo wameichakachua na wala hawakuonyesha kama kulikuwepo na umati wa watu mkubwa namna hii. Jamani wenye uwezo hakikisheni picha hizi zinayafikia magezeti ya kesho ili zitumike na kuondoa dhana kwamba mkutano ule haukuwa wa watu.

CCM wanatumia kila kilichoko mbele yao kuchakachua na kuonyesha kuwa Dr. Slaa hakubaliki wakati yeye ndiye kipenzi cha watanzania kwa hivi sasa.
 
asante mugumu kwa picha ila tbc wameonyesha tofauti, yaani wamechakachua
 
safi sana wakuu naona ngoma inogile haswaaaa, kidogo nimefarijika kwa hii picha maana ya Tunduma yameninyima raha. But lets keep fighting! wa 16 tupe taarifa mkuu.

Aisee naomba unijuze kilicho tokea uko Tunduma, angalau tushare furaha ya singida leo?
 
Mwaka huu CCM hawana chao. Watu walishachoka na chama cha wezi wa maliasili zetu na kodi zetu.
Ukiwaangalia hao polisi mioyoni wanasema "mwaka huu tunakupa kura zetu, tumechoka na CCM inayotulaza kwenye nyumba za bati kuanzia kwenye msingi hadi paa na joto hili na kimshahara cha noti 17."

hAWA WATU WANVIPICHA VYAO VIWILI VITATU, ndio watapongezana humooo mpa asubuhi. Sehemu nyingine ni chafu tu, hawana kitu.

Kama mimi nadanganya waambie waonyeshe zile za Mtwara, Lindi, Songea na Mbeya ni aibu tupu.

KWENYE MTANDAO NYIE USHINDI CHUKUENI, LAKINI MITAANI WAACHIENI CCM NO 1.
 
Mtandao huu ni sample nzuri sana ya Watanzania waliosoma. Inawakailisha Watanzania kutoka dunia nzima. Wana influence kubwa sana. Sasa kama 75% ya Watanzania wanaojua dunia inakwendaje wanafahamu JK si kiongozi mzuri wewe unapuuzia?

Pili, unataka kusema kujitokeza kwa Watanzania wengi KUMSIKILIZA Dr. Slaa kila mahali isipokuwa sehemu moja au mbili unazojua wewe hakuashirii kukubalika kwake?
 
Enyi wa-Singida wenzangu, saa ya ukombozi ni ndio sasa! Muachane na CCM ili maisha yetu yaboreke. Mmpeni pia kura mbunge wetu Tundu Lissu ili tupate mtetezi katika mambo chungu nzima tumekuwa tukidhulumiwa na serikali fedhuli ya CCM

Mungu niasaidie guhange!
 
asante mugumu kwa picha ila tbc wameonyesha tofauti, yaani wamechakachua
Ni wekli hata mimi imenishangaza sana niliyoiona TBC nikajua singida ni kwa ccm kumbe watu wenye akili zao wapo bwana!
 
hAWA WATU WANVIPICHA VYAO VIWILI VITATU, ndio watapongezana humooo mpa asubuhi. Sehemu nyingine ni chafu tu, hawana kitu.

Kama mimi nadanganya waambie waonyeshe zile za Mtwara, Lindi, Songea na Mbeya ni aibu tupu.

KWENYE MTANDAO NYIE USHINDI CHUKUENI, LAKINI MITAANI WAACHIENI CCM NO 1.
we kidoogo haunazo, kwa taalifa yako picha za MBEYA na SONGEA tumeziona alifunika mbaya! tafuta humu jf zipo picha hizo shame on you!
 
hAWA WATU WANVIPICHA VYAO VIWILI VITATU, ndio watapongezana humooo mpa asubuhi. Sehemu nyingine ni chafu tu, hawana kitu.

Kama mimi nadanganya waambie waonyeshe zile za Mtwara, Lindi, Songea na Mbeya ni aibu tupu.

KWENYE MTANDAO NYIE USHINDI CHUKUENI, LAKINI MITAANI WAACHIENI CCM NO 1.

You must be sick in the head.
 
hAWA WATU WANVIPICHA VYAO VIWILI VITATU, ndio watapongezana humooo mpa asubuhi. Sehemu nyingine ni chafu tu, hawana kitu.

Kama mimi nadanganya waambie waonyeshe zile za Mtwara, Lindi, Songea na Mbeya ni aibu tupu.

KWENYE MTANDAO NYIE USHINDI CHUKUENI, LAKINI MITAANI WAACHIENI CCM NO 1.

Nenda kwenye forum ya Photo, tafuta Dr. Slaa Mbeya, halafu linganisha na zile za JK.
Hivi unafikiri kwa nini Dr. Slaa atamalizia kampeni Mbeya? akili kichwani kwako.
 
hAWA WATU WANVIPICHA VYAO VIWILI VITATU, ndio watapongezana humooo mpa asubuhi. Sehemu nyingine ni chafu tu, hawana kitu.

Kama mimi nadanganya waambie waonyeshe zile za Mtwara, Lindi, Songea na Mbeya ni aibu tupu.

KWENYE MTANDAO NYIE USHINDI CHUKUENI, LAKINI MITAANI WAACHIENI CCM NO 1.

((____________________________________)) kwenye mabano kuna maneno yale ambayo mod. anaweza kunifungia...!:mmph::mmph:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom