PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

Mkuu Ritz
Angalia picha utaona wenye majonzi ya kweli na wanafiki waliokwenda kutafuta picha za magazeti; Dr. Slaa anaona hata aibu kuingalia kamera kwasababu ya dhambi unafiki inamsuta, masikini kama watoto uyatima kwa tamaa za kisiasa inasikitisha sana. R.I.P Mwangosi

Chama
Gongo la mboto DSM

Inavyosikitisha umwagaji wa damu wengi wetu wana damu ya kunguni, sijajua bado wanachofaidika na umwagaji huu wa damu wakati wanaofaidi ni wa magogoni na mawaziri, Ma-RPC labda ni kanga na caps zinazowapa kichwa.

Ninachofahamu wamewekewa pazia zito machoni mwao, ushabiki wa rangi utakuja kuwaponza watakapoona wamechelewa, kwani hata kipindi cha ukoloni katika kudai haki walikuwepo vibaraka waliokuwa upande wa ukoloni, lakini siku ya uhuru na kuona kumepambazuka walitoa visingizio visivyoisha na hata kuyahama makazi yao kwa aibu, Huu ndio ukweli na ipo siku haiko mbali nderemo za wanamapinduzi zitakapofunika kote na kufifisha matumaini ya CCM kama ilivyotokea KANU. Bora nimebaki upande usiofungamana na wo wote kwa vile ninachofuata ni ukweli ninaoukubali.

Hili la kushabikia mauaji kama mtu asiye na akili timamu ni utumwa nisiokubali kuingiamo kamwe katika maisha yangu, na ndio maana mie ni mwananchi huru nisiye mwanachama wa chama cho chote, ila nakubali itikati za chama cho chote chenye kuonyesha wazi masilahi kwa wananchi na taifa kwa jumla.
 
Candid Scope hapo umezungumzia glob mbili Iringa inayoandika habari kwa kuchakachua na inayoandika kwa uwazi, nakwambia glob ya Mjengwa ni ya hovyo haandiki sana habari za cdm ni maarufu kwa kuandika habari chakachuzi zenye kuwaegemea ccm,anaonekana wazi ni mchumia tumbo.mjengwa ni mnafiki!!
 
Sijataja wazi ipi inaandika nini na ipi inaegemea wapi, lakini wapembuzi yakinifu wanajua na wanaweza kuchambua nilichoandika, na ni haki yako ya kikatiba kama wananchi huru wa nchi hii kuwa na free speech.

Binafsi simbagui ye yote, kwani wote tunawahitaji, na itafika siku hawa walio kichume cha wanamageuzi watakapoona wemeegemea upande usio faa na kuzidi kuegemea meli upande moja na ni hatari ya kuzama ndipo watakapoamua kurudi kati ili meli isiyumbie upande mmoja.
 
a1.jpg

Na hakika uchungu wa huyu mtoto utalipa siku si nyingi, mungu hachezewi wala hajaribiwi kwa madaraka na fedha za duniani

Kuna siku huyu mtoto atalipa kisasi. Napendekeza hawa watoto wasomeshwe shule na CDM kumuenzi baba yao ambaye ameuwawa akifanya kazi ya kukitangaza chama.
 
Tokea juzi jioni baada ya kuona picha ya jinsi alivyopigwa akamkumbatia Yule Askari akiomba msaada Huku akiwa ameshika kamera halafu bila huruma polisi walio chini ya serikali ya kikwete wakamlipua akasambaratika tumbo machozi yananitoka kila nikikumbuka Hilo tukio
 
Mkuu Ritz
Angalia picha utaona wenye majonzi ya kweli na wanafiki waliokwenda kutafuta picha za magazeti; Dr. Slaa anaona hata aibu kuingalia kamera kwasababu ya dhambi unafiki inamsuta, masikini kama watoto uyatima kwa tamaa za kisiasa inasikitisha sana. R.I.P Mwangosi

Chama
Gongo la mboto DSM
Chama,
Mkuu wangu wakati mwingine ni vizuri kukaa kimya ni hekima kubwa sana kuliko kuandika upuuzi kaa huu. Sasa nani ktk picha hizo anaitazama kamera na kwa sababu gani?. Huu unafiki wewe unautafsiri vipi..Chuki yako imepitiliza hata mipaka ya Ubinadamu yaani duh sikutegemea kabisa kusoma haya..
 
Candid Scope ndo nasema bila kumung'unya maneno Globe ya Majjid hovyo, anaangalia upepo/mshiko/kujikomba aegemee wapi, anafanya kazi kwa kujipendekeza pendekeza ccm. He has to stand firm penye kukosoa live akosoe penye kusifia asifie kama Godwin anavofanya
 
R I P Mwangosi ndio siasa ya nchi yetu na Polisi wa Mkoa wangu wa Iringa! Mungu ni mwema wamefanikisha lengo lao la kukuzima ila ila fikra zako zitaendelea kuwapo
 
Kwa kweli kila nikikumbuka mwili wa marehemu ulivyosambaratishwa kwa mtutu wa bunduki ya kuulia tembo, na machozi ya huyu ndogo napata hasira kali juu ya serikali ya CCM na police wake naishi karibu viongozi wa ccm na lipolice fulani natamani nichukue upinde wang nimlenge hata mmoja wao. Kila auae kwa upanga naye atauliwa kwa upanga
 
a1.jpg

Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.

Kweli CCM na polisi: HILI jambo ni sahihi? Namwonea huruma masikini huyo mtoto mzuri. Alivyo na uchungu kwa kumpoteza baba yake. Fikiria ndio wewe yamekukuta haya, kwa ni nini huruma hatuna? Hivi polisi wa CCM walipozuia mikusanyiko ya CHADEMA hawawezi kuridhika kamwe. Siziombei mabaya familia zenu lakini kwa Mungu tupo sawa, hakuna rais, waziri mkuu, rpc tupo sawa na siku moja Mungu atafuta kila tone la machozi ya huyu mtoto.

Mkuu Ritz
Angalia picha utaona wenye majonzi ya kweli na wanafiki waliokwenda kutafuta picha za magazeti; Dr. Slaa anaona hata aibu kuingalia kamera kwasababu ya dhambi unafiki inamsuta, masikini kama watoto uyatima kwa tamaa za kisiasa inasikitisha sana. R.I.P Mwangosi

Chama
Gongo la mboto DSM

Hivi hapo walienda kupiga picha za maonyesho?Je wale wafanyabiashara Moro nao waliuwawa na polisi kwa sababu zipi?Ukiwa mikononi mwa polisi sawa na kuwa mikononi mwa papa, jeshi kuua raia na mali zao.Lakini ujue fikra zako potofu hazitoweza kuondoa ukweli wa tukio nzima.
 
Chadema na polisi wanahusika kwenye kifo cha marehemu lazima wote wailee familia ya marehemu I hate this kind of politics
 
Nyie na chama chenu kisicho fuata mamlaka halali iliyoteuliwa na mungu ndio chanzo ya yote haya halafu inajidai unasikia uchungu.Simngesikiliza amri ya polisi na mrudie tena kukaidi amri halali Sasa hivi ni hao viongozi wenu ndio wakutoa utumbo kuliko Watu wasio na hatia.
Tokea juzi jioni baada ya kuona picha ya jinsi alivyopigwa akamkumbatia Yule Askari akiomba msaada Huku akiwa ameshika kamera halafu bila huruma polisi walio chini ya serikali ya kikwete wakamlipua akasambaratika tumbo machozi yananitoka kila nikikumbuka Hilo tukio
 
Hivi hapo walienda kupiga picha za maonyesho?Je wale wafanyabiashara Moro nao waliuwawa na polisi kwa sababu zipi?Ukiwa mikononi mwa polisi sawa na kuwa mikononi mwa papa, jeshi kuua raia na mali zao.Lakini ujue fikra zako potofu hazitoweza kuondoa ukweli wa tukio nzima.

Kama hujui kusoma ujumbe wa kwenye picha mwambie Mwanakijiji akusomee, angalia picha zinonyesha ni nani na nani wamekubikwa na machungu ya msiba.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ccm na polisi wao wamesha laaniwa ndio maana kila siku viongozi wao wanaropoka tu majukwaani.
 
because of police, alafu ndio hawa hawa wanaotuambia tusichukue sheria mkononi tunapowakamata vibaka wakati wao wana mbinu mblimbali za kijeshi za kudhiti uharifu ajabu wakikamata raia wema wanawasindikiza na kichapo mpaka wanapoteza maisha je sie tusio na ujuzi kama wao tufanyaje sasa

ni kiama japokuwa sheria ni zile zile, kuwa kujichukulia sheria mkononi ni jinai. Nashauri kama sio chadema, basi wanahabari au wanaharakati waende mahakani kufungua kesi dhidi ya kamanda wa polisi mkoa wa iringa na watendaji wake wote waliokuwepo kwenye tukio. Hii nadhani italeta adabu kwa wote kufuata sheria katika utendaji wetu wa kazi
 
sikatai chadema kusaidia kwa rambirambi. . . Lakini sio kweli kwamba amekufa kwenye harakati za siasa za chadema.
Your observation is rather skewed and wrong in many ways.

Waue polisi, chadema wachukue jukumu la baba mlezi?

Kwani shida iko wapi CDM kuchukua jukumu la la kuihudumia familia ya RIP DM? Au ndo masharti ya makafara yanavyokataza?
 
Kuna mtu anajiita chama hapa ndani, duh! natafakari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom