Picha: Dr.Slaa ampokea Prof. Lipumba kiaina

Sasa watu wanaishi kwa umoja wewe unanuna kama sio wanga nini uo ndo uzalendo msema kweli uchaguzi mkuu 2015 safi baba yangu slaa we loves you much than
much
 
ni baada ya kutaka kukatisha kwenye umati watu chama cha wananchi walipokuwa kwenye mapokezi ya mwenyekiti wao.

CHANZO:Nimeiona hii ukurasa wa mbele wa gazeti la Jamboleo la leo.
 
kuzomnewa kwake na cuf kuna maana gani! kuwa wao ni ccm B wa ukweli?
 
haaahaaah kwahiyo Dr Slaa ndio adui yao !? kawaletea maisha magumu ?

CuF ni chama cha mazuzu na wanywa kahawa wenye fikra duni ! ni watu waliokata tamaa , majitu hoehae kifikra , hawajui hata adui yao ni nani katika siasa za Tanzania ! CuF ni kusanyiko la Karunguyeye
 
pimbi kweli ww kumbe chanzo ni habari leo kama una una topic bora usome za wenzio tu! uctafute umarufu ww iwe mwisho
 
Hivi ktk Chaguzi ndogo Igunga na Uzini CUF ilipata kura ngapi? na katika uchaguzi mkuu walipata kura ngapi?
Nadhani kwa tathimini hyo unaweza jua kama wanakufa au wapo hai!
Kuhusu kuwa na wabunge both parties hebu tufanye tathimini ya idadi ya wabunge walio wahi kuwa nao toka 1995-2010 ndipo tutajua kama kinakufa au kiko hai
Tuangalie historia ya chama gani ndio kinaongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni toka 1995-2010 na tutajua kama kina kufa au laah.
Tuache kutoa majibu mepesi ktk maswali magumu
 
Back
Top Bottom