Elections 2010 PICHA: Dr. Slaa aiteka Shinyanga

We are watching History in the making. Waandishi kama rafiki yangu Muhanika, bila shaka wataweka vizuri hizi picha na rekodi ya haya mambo ya kihistoria.

Watanzania wanabadilisha chama tawala kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 50.

The hands that picked cotton will now pick a President.
 
safi sana!......
hatuhitaji KOFIA SISI....
hatuhitaji KHANGA....
hatuhitaji mlungula.....
hatuhitaji tiisheeti.....

TUNAMUHITAJI RAIS,
tunamuhitaji dk slaa
 
hakuna nguo za chama wala nini. jana nilikuwa napitia famialia yangu na ndugu zangu kuwakumbusha kumpigia slaa na nimeahidi kutotoa msaada kwa yule atakaekwenda kinyume. Je wewe umeishafanya sehemu yako?

aaah, usifanye hivyo waelimishe tu wataelewa, lakini usitumie msaada kama pre condition ya kumpigia kura Slaa. Hiyo sio demokrasia. Sipendi kuona Dr Slaa anapigiwa kura za huruma na za woga kama hizo kuwa wasipofanya hivyo utakavyo wewe basi unakata misaada. Hiyo sio fresh kaka, naamini umepitiwa tu hapa lol
 
Kuna watu wanaweweseka. Hivi Timu ya familia ya JK watafanya kazi gani baada ya Sept 31? Na hizo kura za wizi zinatoka kwa mzinzi mwenzake wa SA? Hivi ni nani ataweza kumvaa balozi wa SA Dar na kumpiga maswali kuhusu huu umangi meza? Je balozi wa Tanzania aliye SA anahusika na hii scandal ya kuchapisha makaratasi ya kura?

Mlio SA hebu fuatilieni au Ka-inzi kafanye kazi yake.

TRA kuweni wazalendo sote tunalilia mabadiliko Hilo Lori la shena za kura za KI-KWETE LIPIGWE PICHA HAPO LILIPOPARK JAPO TUONA PALTE NUMBER YAKE.please Colleagues from TRA we trust you just do the needful for Tanzanians.
 
hakuna nguo za chama wala nini. jana nilikuwa napitia famialia yangu na ndugu zangu kuwakumbusha kumpigia slaa na nimeahidi kutotoa msaada kwa yule atakaekwenda kinyume. Je wewe umeishafanya sehemu yako?

nimekuwa nikipita maeneo ya sokoni - kwenye wafanyabiashara wa hali ya chini na vijana - nikiwashauri wachague chama sahihi - CHADEMA - to my surprise - TAYARI WAMEAMUA KUIPA CHADEMA KURA ZAO - nimefarijika - HATA JAMAA ZANGU/NDUGU - THEY ARE ALL SAILING IN CHADEMA BOAT - tupige kampeni kwa kila njia
 
Kuna watu wanaweweseka. Hivi Timu ya familia ya JK watafanya kazi gani baada ya Sept 31? Na hizo kura za wizi zinatoka kwa mzinzi mwenzake wa SA? Hivi ni nani ataweza kumvaa balozi wa SA Dar na kumpiga maswali kuhusu huu umangi meza? Je balozi wa Tanzania aliye SA anahusika na hii scandal ya kuchapisha makaratasi ya kura?

Mlio SA hebu fuatilieni au Ka-inzi kafanye kazi yake.
Hao wapo bent kinoma maana walishatanguliza chopers!
 
Back
Top Bottom