Picha: Dawasco imekufa? Siku tatu maji mengi yanamwagika

Mwitongo

JF-Expert Member
Jan 30, 2009
312
360
Leo ni siku ya tatu DAWASCO wakiwa hawajafika kuziba bomba hili la maji katika eneo la Luguruni Stendi (Makondeko. Maji yanamwagika usiku na mchana, hakuna hatua zozote za kuziba bomba hili wakati maelfu ya watu Dar wakikosa maji. Hii inaashiria nini?

Mdau dawasco.JPG
 
Back
Top Bottom