PICHA: CUF wakimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Daraja mbili

Haya ndio matokeo ya kuzoea kubeba watu kuwapeleka mikutanoni. Siku mkiacha tu kuwabeba ndio mambo yanakuwa hivi.
 
Molemo,endelea kutupa up dates naona wameiteka arusha na hapo bado mume wao hajaja
 
Hapo ni wakati wa maandalizi ya kufanyika mkutano au ndio mkutano unafanyika hivyo?
 
wana weweseka. wanadhani watanzania wanadanganyika tena.wameamua wao na CHADEMA CHADEMA NA WAO.
 
oya ww umepiga picha mapema bwana,

lakin inakuaje hat hakuna hata watoto wa kusikilizo bongo flvava toka kwenye gari la matangazo?

au waliweka zile swaga zetu nini?
 
Tulieni fuzo bado hasijaingia zimekamatiwa kia muda wowote sinaweza kuingia mkaona nyomi ya watu
 
mkuu hapa ndo wanahutubia au ndo walikuwa wanatayarisha logistics ili mkutano uanze? au walikuwa wanasubiri coaster zitoke buguruni na temeke?
 
Wamekwisha hao hata kabla game halijaanza. Labda bado wanasubiri coaster kama sita hivi zinaendelea kuokoteza wanachama wao toka maeneo mbalimbali ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Hawana wanachama maeneo hayo. Labda Morogoro na Dar! Wapi CUF Ngangari?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom