Picha Chafu, Mambo Yote Hadharani [18+ Kwa Wakubwa Tu]

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,739

3375aa6a4b0dc54ff25d793625a56ca7
 
Huo muda uliopoteza hapa na ule utakaowapotezea wengine kwa kuangalia hii tungekuwa tumefanya mambo ya kujenga nchi tungekuwa tumepiga angalau nusu hatua ya tulipo sasa
 
Very good.....yatakuja tu majitu ya kupenda uchafu na yatalalamika.Mimi nilitaka kukemea kama kawida yangu.Wengine endeleeni kuweka kama hii ya Salammander ili majinga yajijuwe.....badala ya kusoma bible au Quruan even half a verse tunakimbilia ujinga.....Yadanganyeni tu......
 
Huo muda uliopoteza hapa na ule utakaowapotezea wengine kwa kuangalia hii tungekuwa tumefanya mambo ya kujenga nchi tungekuwa tumepiga angalau nusu hatua ya tulipo sasa

Ukitaka kujenga nchi, fanyakazi lipa kodi, usije humu JF kulialia watu wanakupotezea muda.
 
Ukitaka kujenga nchi, fanyakazi lipa kodi, usije humu JF kulialia watu wanakupotezea muda.
Issue sio muda wangu tu hata wako kama unaopoteza badala ya kufanya vitu positive basi hio bado ni hasara kwa community
 
Issue sio muda wangu tu hata wako kama unaopoteza badala ya kufanya vitu positive basi hio bado ni hasara kwa community

Funny jokes and laughter is incomparable ways of making ourselves feel good sometimes. Kama leo umeamka vibaya pole and take it easy you'll be fine again.
 
Back
Top Bottom