Picha - Chadema yauvutia ulimwengu jangwani.

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
SAM_1971.JPG

SAM_1970.JPG

SAM_1974.JPG

Chadema kwa hakiki wanamvuto na kuvuta hisia za kweli kwa watanzania na ulimwengu. Hapa sasa ni mchanganyiko wa watu wamataifa mbalimbali katika mkutano wao. Dalili tosha kwamba Chadema kinakubalika kimataifa, Tusisubiri hadi waseme au kuandika, mahudhurio ni dalili tosha za njaa waliyo nayo na kupata ufafanuzi wa mvuto wa itikadi za wanamageuzi wa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kama mnadai ukombozi wa kweli huku mnanyenyekea na kufurahi kuona ngozi nyeupe mikutanoni bado mnasafari ndefu ..... HAWA SI NDIO WAFADHILI KUTOKA CHAMA CHA KANISA UJERUMANI CDU .....
 
kama mnadai ukombozi wa kweli huku mnanyenyekea na kufurahi kuona ngozi nyeupe mikutanoni bado mnasafari ndefu ..... HAWA SI NDIO WAFADHILI KUTOKA CHAMA CHA KANISA UJERUMANI CDU .....

Hawa wakionekana kwa magamba hakuna maneno, lakini wakitia pua upande wa wapinzani ni nongwa nzito, hii imekaaje?
 
Watu wengine nakwambia akili zao ni finyu, ni kipi cha kujivunia hapo?

Watazame nyuso zao hao unaona wamevutiwa?

Halafu kuona hao watu weupe wachache ndio umesha uona ulimwengu? Unatia kichefu-chefu!
 
sam_1971.jpg

sam_1970.jpg

sam_1974.jpg

chadema kwa hakiki wanamvuto na kuvuta hisia za kweli kwa watanzania na ulimwengu. Hapa sasa ni mchanganyiko wa watu wamataifa mbalimbali katika mkutano wao. Dalili tosha kwamba chadema kinakubalika kimataifa, tusisubiri hadi waseme au kuandika, mahudhurio ni dalili tosha za njaa waliyo nayo na kupata ufafanuzi wa mvuto wa itikadi za wanamageuzi wa kweli.
huyo mzungu mwenye miwani nyeusi na shati la blue ndie katibu wa chama tawala cha ujerumani cdu.
 
Watu hawashabikii vyama vya siasa, wanachotaka watu mabadiliko yenye kuleta maendeleo. Wanaoichangamkia Chadema si wafuasi wa Chadema bali wapenda mageuzi.

Ushaambiwa huyo mzungu ni wa CDU sasa unganisha M4C na CDU utajuwa hizo C zinamaanisha nini.
 
Ushaambiwa huyo mzungu ni wa CDU sasa unganisha M4C na CDU utajuwa hizo C zinamaanisha nini.

Nakushauri kwa hiari WAHI KAMUONE DAKTARI UNA TATIZO KUBWA. Njia nyingine unaweza kujivua ujinga ukavaa umakini
 
So unataka kusema inatakuwa mikutanoni wakionekana ngozi nyeupe wafukuzwe.? Mkuu we nd bado una safari ndefu
 
Muda mwingine ujinga na upumbavu wa mtu huonekana kwa maneno yake sio lazima ushuhudie vitendo vyake. Mijitu ishaanza kuhusianisha hao wazungu na Chama cha kikristo cha Ujerumani ili baadae walete sera zao za ile dini isiyojiweza ambayo kila siku wanalalamika kuonewa. Lini mtapevuka kiakili na kuacha kuingiza udini katika siasa? Namna hii nyie ndo watu wazima mna mawazo ya aina hiyo, mnategemea mitoto yenu itarithi kitu cha maana kichwani zaidi ya huo ufinyu wa mawazo?
 
JK anawafuata wazungu kwao, na wazungu wanaifuata chadema huku kwetu. Hii imetulia sana kwaaaa kweeeeeri
 
JK anawafuata wazungu kwao, na wazungu wanaifuata chadema huku kwetu. Hii imetulia sana kwaaaa kweeeeeri

Sidhani hawa wazungu wangepoteza muda wao kwa chama ambacho hakina sera zenye kufuta hisia za kweli kwa maisha na ulimwengu wa leo na kabisa Wajerumani wako makini sana.
 
Watu wengine nakwambia akili zao ni finyu, ni kipi cha kujivunia hapo?

Watazame nyuso zao hao unaona wamevutiwa?

Halafu kuona hao watu weupe wachache ndio umesha uona ulimwengu? Unatia kichefu-chefu!

hivi wewe dada mzigo huwa unapiga sa ngapi?
 
Back
Top Bottom