PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho.

Ikumbukwe kuwa jana Godbless Lema alishatoa CD ya kuonyesha kilichojiri hadi kupelekea madiwani hawa kufukuzwa chamani.

Hii leo chama hicho kimekusanya umati wa wananchi ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amehutubia. Tutawaletea taarifa kwa kirefu lakini pata picha hizi kama zilivyowasilishwa na mdau wa JamiiForums:

chadema-leo.jpg

Mbowe akihutubia umati wa wananchi hii leo katika uwanja wa NMC​
photo1.jpg
umati.jpg

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano wa CHADEMA hii leo




Kimeongelewa nini, nini kilichojiri nyuma ya pazia? Fuatilia FikraPevu kesho
CHANZO: CHADEMA ‘wauteka’ mji wa Arusha! | Fikra Pevu | Kisima cha busara!

kama ni rational person, sidhan kama unaweza kubeza juhudi hiz za M4C za chadema. ukitumia tumbo kufikir lazima MAGAMBA waku-win tu. nawapa pole hao madiwani maana utu haununuliki. hawa jamaa hata wakiomba msamaha kwa kutambaa; tuseme no no no maana hawana tofauti na Lusinde. kumbuka "Ndege wa rangi moja huruka pamoja"
 
Last edited by a moderator:
kweli chama chetu kimekuwa makini sana kwani busara zinatumika sana kingekuwa chama cha mafisadi wangeanzisha fujo
 
Back
Top Bottom