Picha: Chadema warudisha fomu Igunga

Chonde Makamanda wa Vijana kote nchini; Kamanda Mr II na Kamanda Lema hebu shukeni pale Igunga mara moja wapiga kura vijana wanatafuta kwa udi na uvumba kusikia sauti zenu.

Bila kuwasahau Mh. Zitto, Mh. Mnyika, Mh. Mdee na Mh. Regia.

sasa kama unyo tafsiri ya neno milele si uiweke hapa, makelele mengi hayasaidii kitu. Ukweli unabaki kuwa ccm hainaga mpinzani linapokuja suala la viuchaguzi vidogo kama hicho ambacho magwanda ndiyo wameona ni nafasi ya kuonyesha misuli yao.

eeeeeeeh kumbee!!!!!!!!!

Nina hoja tofauti; Philosophy inasema ukimfundisha mtoto kwamba nyumba inaitwa daraja, na mayai yanaitwa bahari, basi mtoto huyo atakuamini ila tu atatofautiana na wewe kama atakuwa mdadisi na mwenye kutaka kujua kwa nini majina hayo yanaitwa hivyo.

Uwingi wa watu sio guarantee ya ushindi na wala kuvaa mavazi ya chama sio kuunga mkono mgombea, lakini sana kuunga mkono mgombea sio kumchagua kwa kuwa kura ni siri ya mtu kulingana na utaratibu ulivyo. Cha msingi hapa ni kuhakikisha kila anayeshabikia mgombea wa cdm ana kadi ya kupiga kura na ana kadi ya chama na ni mzalendo. Hilo litafikiwa kwa kufanya kampeni kwa ukaribu sana na wapiga kura, maana yake zaidi ya kupanda jukwaani ama kuporomosha muziki wa densi mikutanoni.

Haina ubishi kwamba cdm sasa watanzania wanaiamini sana lakini ni wangapi wana nia ya kuipa dola? No hapo ndio tunarudi square 1 kwamba tuna kazi ngumu mbele yetu. Sina haja ya kutoa sifa kwa kitu nisichokijua kwa kuwa hakuna ajuaye kesho, ila ninashauri na kuwazua kulingana na mazingira, tunahaitaji wapiga kura na sio kujaza watu bila maana, Mrema analijua hili na gari lenye kutumia watu ili litembee matokeo yake hata 50% hakugusa.

Cdm, lazima isiishie kuona watu wakijibu 'Powerrrr; bila kujua hiyo power nini maana yake na inaishia wapi; sasa kama power mbona mambo kwa sasa ni mzobemzobe halafu hatuoni maana ya power? Daima tutashauri na kutoa maono yetu ili 2015 tuchukue dola na sio kuleta picha ambazo hazina vithibitisho kwamba zina maana yeyote kwetu.

JF, Napenda kutoa hoja.

Mwita25, unadiriki kusema kwa niaba ya CCM ati wananchi wa Igunga WAMEPAUKA NAA KUONEKANA WATU BILA MATUMAINI??????????

quote_icon.png
By ritz Mbona hao kina mama wamechoka sana CDM ebu jaribuni kuwatafutia Magwanda kama yale wanaovaa kina Halima Mdee! Wamepauka sana
Hao ndio mama zetu waliotusomesha kwa pesa halali za pamba si kama mama yako anayeishi Masaki kwa pesa za kuuza Serengeti kwa kipande cha suti.

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Sawa Mwita Riziwani Kikwete.....................naona unafanya kazi yako kwa nguvu sana lol!! Ila naomba kama huna watoto usizae maana watoto wako watakuja kukulaani kwa upumbavu huu unaofanya,na nashukuru umeingia hapa kwa unknown name la sivyo unekuwa umekwisha kutengwa na familia yako...haiwezekani watu wanakufa na umaskini wewe unaleta ushabiki wako wa kijinga dhidi ya CCM na viongozi wake.....

Ila Mwita25, kidogo nakusifu wewe sanaaaana kwa usugu na uwezo wako wa kuwa na roho saba kama paka au yule Waziri wa Mawasiliano wa Saddam Hussein wakati wa vita kule Iraq.

Kitendo cha wewe kuona CCM kinaangukia pua Igunga na wazee wote wa Chama kuamua kwenda kifichoni na kumuachia dogo Nape na Kamanda Siro kazi ya Igunga, Muraa kweli wewe mwanaume maana wenzio wote hapa jukwaani tayari wamepuputishwa na tatizo letu lile la kule Wikileaks.

Lakini usijepatwa ugonjwa wa moyo pindi KINACHONUKA ZAIDI ya sakata la suti ya dhahabu na ma-events itakapowekwa hadharani hapo mbeleni kidogo.

ahaa rangi murua hii ya chama dume sisi-m hii indhihirisha jinsi chama hili linavyopendwa hata na wapinzani wake maana ndicho kilichowalea na kuwasomesha! hongera mkuu kwa kuitukuza rangi maana maandishi yenye rangi ya magwanda hayatawavutia watu kusoma

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

Zinafanana za ile ya mamako uliyemwacha kijijini musoma

ahaa rangi murua hii ya chama dume sisi-m hii indhihirisha jinsi chama hili linavyopendwa hata na wapinzani wake maana ndicho kilichowalea na kuwasomesha! hongera mkuu kwa kuitukuza rangi maana maandishi yenye rangi ya magwanda hayatawavutia watu kusoma

Hivi magwanda wana rangi maalum kweli?

Mbona hao kina mama wamechoka sana CDM ebu jaribuni kuwatafutia Magwanda kama yale wanaovaa kina Halima Mdee! Wamepauka sana
tunafanya utaratibu wa kuwasiliana na mkulu atupe room number ya mwarabu ili tuwapeleke hawa wakina mama waliopauka ili wapewe angalau magauni.
Si bado mwarabu anagawa nguo pale kempiski

Kuna Jamaa yangu amenipigia simu kapishana na msafara wa fuso za CDM zinasomba watu kutoka Moshi zinaelekea Igunga.
Kwenda kuongeza nguvu

ritz acha uongo hizo ni tabia za wanamagamba kusafirisha watu. Hapa dar coaster zimeanza kupotea mmesombea watu kupeleka igunga

Zinafanana za ile ya mamako uliyemwacha kijijini musoma

I did expect rebarbative remarks of this nature. Knowing your adversary's attitude beforehand is of pivotal importance if you have to win them.

Shangazi yangu wa Mbeya kasema ameona mabasi matatu ya Sumry yamebeba wahuni wa Sugu kutoka Mbeya mjini kwenda kuongeza nguvu za Chadema Igunga.

Naona unatoa experience yenu magamba ya kusafirisha watu

Yes,cdm , tuko pamoja, chukua hatu, bahari ya sham itagawinyika na mtapita salama, inshala!!!!!!! big up!

Inatakiwa siku ya uzinduzi wabunge wote wa chadema na viongozi wote wa chama wawepo na baadaye kuweka mkakati madhubuti wa kunyakua jimbo.

tunafanya utaratibu wa kuwasiliana na mkulu atupe room number ya mwarabu ili tuwapeleke hawa wakina mama waliopauka ili wapewe angalau magauni.
Si bado mwarabu anagawa nguo pale kempiski
Kempiski ndio nini taja vizuri unadhani Rombo Hotel hiyo

Back
Top Bottom