Picha: CHADEMA M4C Mtwara

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
attachment.php

Watu wanafunguka....


attachment.php

attachment.php

Sehemu ya umati ya watu waliojitokeza kuwasikiliza makamanda wa M4C

attachment.php

attachment.php

Viongozi wa CHADEMA wakiingia uwanjani...

attachment.php

Tundu Lisu,


attachment.php

Dr. Slaa akihutubia

attachment.php

Mbowe akihutubia
 

Attachments

  • IMG_9495.JPG
    IMG_9495.JPG
    671.2 KB · Views: 411
  • IMG_9495!.jpg
    IMG_9495!.jpg
    76 KB · Views: 5,752
  • IMG_9505!.jpg
    IMG_9505!.jpg
    86.6 KB · Views: 5,678
  • IMG_9506!.jpg
    IMG_9506!.jpg
    86.8 KB · Views: 5,613
  • IMG_9499!.jpg
    IMG_9499!.jpg
    66.5 KB · Views: 5,926
  • IMG_9502!.jpg
    IMG_9502!.jpg
    68.6 KB · Views: 5,558
  • IMG_9575!.jpg
    IMG_9575!.jpg
    39.2 KB · Views: 5,409
  • IMG_9588.jpg
    IMG_9588.jpg
    57.5 KB · Views: 5,365
  • IMG_9588!.jpg
    IMG_9588!.jpg
    717.4 KB · Views: 372
  • IMG_9597!.jpg
    IMG_9597!.jpg
    86.8 KB · Views: 5,319
Kweli hasara yao faida yetu.

Wakati Jk analalamika kuwa kushindwa ku-deliver kwa watendaji wake kumesababasha wananchi waichukie serikali yake ya nyinyiem, chadema wao wanaelimisha umma namna ya kuchangia katika mabadiliko ya katiba kwa kupunguza madaraka ya rais kuteua hao anaowalalamikia, na hivyo inasababisha furaha kubwa na raia na kuhitimisha furaha yao kwa kuvua gamba na kuvaa gwanda.

Mavuno ni mengi kweli kwa chadema kwa kila kona ya nchi.
 
Kazi kubwa ni kuubadili huu umati kuwa mtaji. Hakuna kitu kinachokera kama kuwa na umati huu wa watu lakini wasio mtaji. Kusini wameonesha njia kwenye M4C. Ni wazi tunaielekea nchi ya asali na maziwa.
 
Hivi huko NTWARa nako hakuna wanawake wa kujohn m4c.? Mbona me nawaona wanaume tu.
Au wanawake nao hawataki mabadiliko?
 
HUWA SIAMINI NAPE ANAVYOSEMWA NI VUZIZELA..ila ntaamini wakati yeye na wenzake wakiendelea kuupromoti uchaga na ukaskazini kama propa..dhidi ya cdm.ntamuona hamnazo
 
Napendekea kila mkoa ikiwezekana kuwe na chadema squire ili kufuta kabisa zama za nyinyi em.
 
Mwaka 2015 chadema ni chama tawala..ombi langu kwa wapenda mabadliko tuzidi kuichangia M4C kama alivosema mbowe kuiondoa CCM madarakani ni garama tena kubwa, tusibaki kushagilia na kubeza bila nasi kushiriki kwa njia moja au ningine.....
 
moto umehamia kusini na wamekubalika.Sijui magamba hapa watatoka na wimbo gani tena?
 
Asante kwa picha tunasonga mbele, wakati wao wakihangaika na majungu sisi tunaingia wasikotarajia.
 
Back
Top Bottom