PICHA: CHADEMA ilivyotikisa Ulanga Mashariki katika operesheni M4C

Kweli vijana wanapiga kazi na sasa ninaiamini ile kauli ya hakuna kulala mpaka kieleweke. Kabla ya kuingia Morogoro, katibu Mkuu wa BAVICHA na Mwenyekiti wake walikua mkoani Rukwa walikomtesa Mizengo Pinda. Hongereni makamanda.
 
Duu kweli kuwa mwalimu Tanzania ni adhabu tosha....

Halafu serikali ya magamba haiwajali waalimu kabisaaa! Elimu imedharaulika vibaya mno jamani. Hili ni janga la kitaifa. Mazingira gani ya kazi haya hii ni aibu!

Kuna mengi kwenye uwezo wa watanzania kuchangia katika kuboresha elimu lakini kutokana na udhaifu wa kimfumo mambo ni kama hivyo.

Mobilization of resources can be highly achieved at grassroot levels lakini wapi. Jamani tukubaliana kuwa mabadiliko ni muhimu sana tusiogope.
 
Heri yako wewe uliyekiri ukweli. MUNGU akufungue zaidi.
Hapa Lumumba hali sio nzuri, vikao visivyo rasmi haviishi, kila mtu haamini yanayoendelea vijijini. Makada wetu muhimu wanazidi kukimbilia Chadema.

Mikakati inapangwa lakini haipangiki, propaganda haina nguvu tena, mbio za urais na vita ya madaraka ndani ya chama zinatugawanya zaidi,

Nape na Mukama sasa ni paka na panya.

Kifupi tunapitia kipindi kigumu zaidi kuliko wakati mwingine wowote tokea mfumo wa vyama umeanza.
 
Daah hii spidi ya M4C ni kali vibaya sana kama ile ndege iitwayo concodi....(ilipigwa marufuku baada ya ajali) ilikuwa ikitumia lisaa1 tu kati ya usa na japani daah Mungu awape afya na nguvu hawa makamanda...

Nadhani sisiemu hawaani kabisa kinachotokea katika ground (uwanja wa mapambano) kama ilivyokuwa yule msemaji wa seikali waziri wa enzi za sadam wakati anapigwa na marekani alikuwa akibisha kila kitu....mpaka alipoona vifaru vinaiingia baghdad na kuvunja sanamu ya sadam hussein....

Huko leo wamevuna wanachama 800 toka ccm yaani.. mpaka 2015 tutakuwa tumefikia maeneo yote,... tuzidishe michango nduguzangu.... ntaweka bajeti rasmi kuichnagia CDM kila mwezi.... Mungu ni mwema.
 
Hivi hizi gharama za kusafirisha vijana ili mkutano uonekane umepata watu si kubwa sana? Kuna jamaa nawaona kwenye kila picha za mikutano yenu. Hasa yule alie vaa singlend. Kuna mmoja alikuja kulalamika humu kuwa Heche alimtishia kumlawiti baada ya kuomba posho.
 
Hapo kwenye red uliza magamba wenzako
 
Hadji Mponda analo mbona sijamuona Prof aliyegombea Ubunge CHADEMA kwenye kampeni nzima?
 
Hivi hizi gharama za kusafirisha vijana ili mkutano uonekane umepata watu si kubwa sana? Kuna jamaa nawaona kwenye kila picha za mikutano yenu. Hasa yule alie vaa singlend. Kuna mmoja alikuja kulalamika humu kuwa Heche alimtishia kumlawiti baada ya kuomba posho.
Kaka tujifunze nini kutoka kwako? Katika watu wanaoitwa fikra pevu na wewe umo?
 
Kilimanjaro watu wanaishi kama ulaya lakini waliikataa SI SI MABWEPANDE miongo kadhaa huko wako nyuma hivyo pemba au Somalia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom