PICHA: CHADEMA ilivyotikisa Rukwa & Iringa

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Habari Picha Ya BAVICHA-Taifa-Nyanda Za Juu Kusini



k4.jpg


h2nb.jpg


h5.jpg


k2.jpg

 
hongereni makamanda,kazeni buti ila muhakikishe wanawake wanaongezeka kwenye m4c operesheni.
 
Ok, thanx..hawa vijana Mungu azidi kuwapa moyo waende kufuta tongo...naona akina ZZK wao wanahangaika na kula rushwa tu kutunyonya watanzania!!
 
Hizi picha imekuwa kama kawaida, sioni geni hapo, wananchi hawaangalii picha tu bali pia wanatafakari kama maneno yanayotoka kwenye midomo yao ina maana yoyote kwa maendeleo ya Taifa.
 
Hizi picha zinawatia presha ndugu zangu wa pale lumumba, kila siku M4C ni kama ndo inaanza upyaaa!!!!
 
hahahahaha....wananawake ndio wapiga kura, na ni wapenda amani. Vurugu za chama cha wachaga hawaziwezi.
chama cha wachaga kama kipo kwa ajili ya watanzania wote hakuna shida wala lisikuhuzunishe hilo
 
najisikia mwenye afya njema ngoja nikachape kazi,TANGANYIKA tuitakayo ndiyo hiyoooooooooooooooo yaja. kamata wezi meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
 
hahahahaha....wananawake ndio wapiga kura, na ni wapenda amani. Vurugu za chama cha wachaga hawaziwezi.

Mnaowaza ukabila kila uchao mnamanufaa gani na sera hizo?karne hii bado mnapanda bus la ukabila?magamba at work!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom