PICHA: CCM yaumbuka na propaganda zake

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
attachment.php

Kamanda Lema akikawa kadi kwa wanachama wapya mjini London.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Kamanda Godbless Lema (kushoto), mmoja wa wanachama baada ya kukabidhi T-Shirt na kadi yaa CCM na kuchukua kadi za chadema ikumbukwe T-shirt na kadi ilipewa na Kikwete miaka michache iliyopita na kulia ni kamanda Chris Lukosi akionyeshe kati ya kadi zilizorudishwa.

attachment.php

attachment.php

Kamanda Godbless Lema (kushoto) akiagana na Mwenyekiti wa tawi la CHADEMA London, kamanda Chris Lukosi wakati akielekea Frankfurt aliendelea na kazi yake ya kufungua matawi ya CHADEMA.
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    54.1 KB · Views: 1,819
  • IMG_4236.JPG
    IMG_4236.JPG
    48.3 KB · Views: 1,787
  • IMG_4239.JPG
    IMG_4239.JPG
    40.3 KB · Views: 1,787
  • IMG_4258.JPG
    IMG_4258.JPG
    29 KB · Views: 1,750
  • IMG_4264.JPG
    IMG_4264.JPG
    48.5 KB · Views: 1,768
  • IMG_4266.JPG
    IMG_4266.JPG
    31.4 KB · Views: 1,760
  • IMG_4278.JPG
    IMG_4278.JPG
    37.1 KB · Views: 2,111
  • IMG_4281.JPG
    IMG_4281.JPG
    40.2 KB · Views: 2,823
  • photo.jpg
    photo.jpg
    49.5 KB · Views: 1,736
aisee ulaya kuzuri, kusafiiii... hebu cheki hapo wanapo agana picha ya mwisho, afu nimelimaindi hilo bmw... duh!
 
Kamanda Godbless Lema (kushoto), mmoja wa wanachama baada ya kukabidhi T-Shirt na kadi yaa CCM na kuchukua kadi za chadema ikumbukwe T-shirt na kadi ilipewa na Kikwete miaka michache iliyopita na kulia ni kamanda Chris Lukosi akionyeshe kati ya kadi zilizorudishwa.

attachment.php

Amependeza sana na hii T-Shirt. Good boy!!
 
Kweli kupenda kubaya jamani mpaka akili inajifunga'sasa hapo ccm wameumbuka kwa lipi?
 
Kweli kupenda kubaya jamani mpaka akili inajifunga'sasa hapo ccm wameumbuka kwa lipi?

walisema lema kazomewa, mara amevalishwa nguo ya CCM kama kumkebehi wakati lema aliipokea kutoka kwa mwanachama mmoja aliyeirudisha.
 
Kwa hakika sasa watu wamebadilika na hakuna uoga tena katika kufanya maamuzi maana zamani hapo utasikia mtu karudishwa home kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu.

Demokrasia imeanza kukua na watu wanatambua haki zao,hongera Lema kwa kuzidi kujitoa kwa chama na taifa lako kwa ujumla.
 
Kikwete aliwakabidhi kadi kwa bwebwe kweli halafu lema kaenda kuwavua hahahahaha na bado asubili mwezi wa tisa wataumbuka zaidi ni kwenye mkutano mkubwa utafanyika wa kuwachagua viongozi wa tawi.
 
Kikwete aliwakabidhi kadi kwa bwebwe kweli halafu lema kaenda kuwavua hahahahaha na bado asubili mwezi wa tisa wataumbuka zaidi ni kwenye mkutano mkubwa utafanyika wa kuwachagua viongozi wa tawi.

Mkutano wa mwezi wa tisa nani atakuwa mgeni rasmi? Mbowe?
 
Ipo siku Tanganyika itakombolewa kutoka mikononi mwa wakoroni weusi,safari yakuelekea nchi ya haadi yenye maziwa na asali bado inaendele.
 
Back
Top Bottom