Picha: CC ya CCM leo

Kwani walikuwa diamond jubilee au white house DODOMA???
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=34698&amp;stc=1" attachmentid="34698" alt="" id="vbattach_34698" class="previewthumb size_large" /><br />
<br />
Wenye kanchi kao wakiwa kikaoni leo CC ya Chama cha Magamba...
<br />
<br />
 
nimetumiwa na mdau mmoja hivi hiyo picha aliyeko dodoma akifuatilia kikao cha CC
 
Jibu swali: Diamond jubilee au Dodoma? HII ni SUMU unalisha watu. Au Dodoma kuna diamond jubilee
 
Gamba litavuka kwenye kikao hiki au wataendeleza usanii?
 
Majambazi yasiokuwa na aibu yakiwa Kazini kupanga plani mpya ya kuwaibia Watanzania Kodi zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom