MMAHE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 816
- 417
Ponda kama kweli anatetea uislam aandae maandamano nchi nzima kupinga harusi za kiislam zenye muigo wa kikristo
ndipo utaridhika?
Ponda kama kweli anatetea uislam aandae maandamano nchi nzima kupinga harusi za kiislam zenye muigo wa kikristo
Mbona ujatuwekea picha za LE MUTUZ na NAPE kama walikwepo
Nitaridhika anapigania dini na si mganga njaandipo utaridhika?
Yule Mkurugenzi mteule wa Moshi MuncipalAu huyu ?
okay!Yule Mkurugenzi mteule wa Moshi Muncipal