PICHA: Athumani Selemani Kikwete Auaga ukapera; Athumani anamuita RAIS Baba MDOGO

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3]
[/h][h=2]Sunday, September 30, 2012[/h]



Bwana na Bibi Athumani Kikwete wakiwa wanaingia Ukumbini.

Muda Mfupi baada ya kuingia ukumbini

Maharusi wakiwa meza kuu

Muheshimiwa Dr. Jakaya Kikwete akiwa anafurahia Harusi pamoja na ndugu jamaa na marafiki

Rais Dr. Jakaya kikwete ambaye ni Baba mdogo wa Athumani akiwa pamoja na Ndugu , jamaa na marafiki wakicheza kwaito katika harusi ya Athumani



Bwana harusi Athumani pamoja na mpambe wake wakiwa wametoa Makoti yao


Kwa picha zaidi bofya read more

Sasa Mambo ya kukata keki

Keki inaendelea kukatwa

Haya sasa mwenye wivu... Mambo ndio yalikuwa hivi walipo lishana keki

Bibi Harusi akiwa anampa mkono Rais Dr. Jakaya Kikwete kwa Heshima na Taadhima huku akiwa amepiga goti

Baba Mzazi wa Athumani Kikwete mzee Selemani Kikwete Mwenye Barakashia, akiwa anafurahia harusi ya mtoto wake

Bwana na bibi Athumani Selemani Kikwete baada ya tukio zima la Harusi yao

Kushoto ni Mmoja wa wakurugenzi wa Tone media Sillas Mbuya pamoja na Ankali Issa Michuzi katika Sherehe hiyo

Mdau

Hili ndilo gali ambalo lilitumika kubeba Maharusi


PICHA ZOTE NA: WWW.BLOGSZAMIKOA.BLOGSPOT.COM
 
Hilo GARI ni la ATHUMANI KIKWETE ? Ni kwanini kwenye SHUGHULI za NYUMBANI sio

OFFICIAL bado Kikwete
anaibebe hiyo nembo ya Dr. ??
 
Haya ndoa za kifalme!!! Kapatia jiko wapi? Siku hizi moslems kama wakristu katika mavavi na ndoa!! Bora mliona jema!! Ops nimesahau pia wakati wa ramadhan mambo mengi kule yanadorora kabisa!! Utasikia mfungo bwana biashara haziendi!!!! Tehe Tehe ngoja waje wanimalize wakati nimesema ukweli.
 
Ki-CCM Bab Mdogo si sio Baba (Refer ya Wassira). Sasa hapo bro kafuata nini kama sio Baba na hiyo sio Official bizinezi.
 
Du kumbe kibaraghashia na kanzu vishapitwa si tamaduni za waislamu siku ya kupewa mwanamwali.Naona jamaa ametoka full mkristo
 
Ponda kama kweli anatetea uislam aandae maandamano nchi nzima kupinga harusi za kiislam zenye muigo wa kikristo
 
hizo ndizo athari za mfumo kristo alizozingumzia ponda na radio imaan

Wamependeza hawajapendeza ???????, baba wa bwana harusi katoka na suti safi kabisa,nafasi ikiruhusu vunja mifupa mwana wane. Dini siku hizi zimebaki kwenye majina yetu, kule mbinguni kwa Mungu hakuna mkamilifu hata mmoja.
 
Back
Top Bottom